Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri
Kumekuwa na maoni mbalimbali toka kwa wadau juu ya mada hii:
Je, kuoa mwanamke mwenye elimu nzuri na kazi nzuri au mwanamke asiye na elimu kubwa na mama wa nyumbani - ni lipi jambo sahihi?
Maoni ya wanaume wengi yana mitizamo tofauti na pengine ni kupitia mjadala huu hata wanawake pia watatoa maoni yao kueleza mtizamo wao na hata kuweza kupata mjadala wenye tija kwa wadau mbalimbali wanaotaka kufanya maamuzi kabla ya kuoa/olewa.
Karibuni kwa mjadala
HAYA NDIYO MAONI YA WADAU.
Eti jamaa mmoja anasema heri kuoa ambaye hajasoma maana hatamtesa, anadai kwamba wasomi wana majidai, majigambo na najidai kujua sana. Kwa upande wangu naona ukipata msomi na mwenye ufahamu mpana mtasaidiana katika mengi na hatakutegemea wewe tu kwa kila kitu, nimsaidieje huyu jamaa ili anielewe?
Mwanamke msomi maana yake nini?
Mwanamke asiye msomi maana yake nini?
Nikishafahamu maana nitarudi kukufundisha Elimu ya Ndoa
kwani unaoa usomi au mke?
ina maana mpaka ujue huyu kasoma au hajasoma ndo uanzishe mahusiano sio?mmh
mie yangu masikio
aswali mengine bana....unajua wapo walioacha wasomi wakenda kuoa wasio wasomi wakawaendeleza wakawa mwiba mchungu sana baada ya kupata elimu na kupata maisha bora....mimi nasema,mke mwema mtu hupewa na Mungu,achukue muda awasome wote wawili...aamue mwenyewe kwa kufahamu yupi anampenda zaidi na yupi kati ya hao wasichana anampenda yeye zaidi......!! ningekuwa mwanaume ningeoa msomi anayenipenda kweli na ninayempenda!

No comments