Kuzidisha ufundi kitandani kuboresha kwa mcost mke wa mtu, bwana abwaga manyanga
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna bi dada mmoja, mtu wa dini mnoo, mchaga mwenzangu, kaolewa na mtu wa bara huko, wana kama mwaka hivi. Mambo yao yalikuwa mazuri tu, karidhika na mumewe, ni wale walio jitunza sanaaa. Hajaonja onja miboloyanki tofauti tofauti so hana a wala be kujua bolkuku lina ladha gani na bolmchunga lina ladha gani. Hajui ikinoga inakuwaje, kazi ikilipuliwa inakuwajee. Kama mjuavyo WHAT YOU DONT KNOW CAN NEVER KILL YOU! Akawa happly married na mbara mwenzie aaha analima anaridhika! HAHAHAAAAAAAAAAAAA!
Kimbembe ni siku alipokutana na mie njiani, akapenda msuko, nikamuelekea njoo saluni ya Mama kubwa, atakusuka, hana hata bei. Akakubali. Akaja akanipigia simu njoo unipe company hapa saluni, mi sijawazoea, na hivi sina issue aah nikaenda kujikosha kwa mama kubwa nimekuletea mgeni. Blah blah blah! Kusuka kukaanza.
Bwana ile saluni haina stahaaaaaa! Stahaa pale alikufa siku nyingi sanaaa. Kuna mishangingi ile imestaafu sahivi imekuwa mi kungwi sasa, inaishi mjini kwa kufunda. Afu kwa mitusi sasa weeeeee. Mitusi mle ndani ni vivumishi vya sifaa. Hatuna hili wala lile akaingia mdada anachechemea. Salamu mtu akauliza vipi mwanakwetu umeumia? Akadakia mama kubwa aumie wapi siku hizi ana bwana mmasai, kapewa cyborg jana! Hahahaaaaaaaaaaaaaa! Tukacheka tu kwa masikitiko. Akadakia muhusika sasa na si uongo,jana kidogo nitaje majina ya manyakanga wangu wote, manake jitu linajijua limejaaliwa, afu likanikunja miguu begani, bia zoteee nilikuwa nazikia kooni. Acha tu! Hahaaaaaaaaaaaa! Msuko gani bei ghali kuliko yote, nipunguze machungu. Tukacheka basi.
Story juu ya story, tukagwadua paleeee, mpaka nywele zikaisha. Akaondoka. Ikawa ndo mchezo sasa kuja kusuka pale ile apate ule ugwadu. Siku isiyo na jina, akaja nyakanga mwenyeweeeeeee sasa, anafunda wali, mamamtu wa Tanga, akaja na kabinti tu nikiapa umri sanaa 23. Akasalimia pale, mwali wangu huyu ananipa ofa nasuka za bei ghali kuliko zote. Mama Kubwa akachokoza tu, sasa Kungwi mwali katulia huko! Kungwi akajibu, Kidogooo, mwali mwenyewe mchaga huyu, mwali kigego, amekuja kuongeza ufundi, Saba sota yenyewe mpaka leo inampelek msobe, imebidi nimbadilisheni fomesheni maana mume mwenyewe kitambi cha pesa kimezidi. Hahahaaaaaa! Tukaheka tu mule ndani. Sahivi nataka nimpe 4,1, 1, 2 akabidhiwe kiwanja na mkwe wangu. Hahahaaaaaaaa!
Sasa bi dada vyote vinavyoongelewa pale chenga tupu, bora hata mie hio 7 sota naijua, mama kubwa anatumegeaga akifurahi siku hio. Uzalendo ukamshinda mchaga kusikia viwanja. Ikabidi aseme yake ya moyoni. Mie nataka ujuzi. Nyakanga akawahi mie nafunda wiki 100,000/= asipopiga kelele nakurudishia hela yako. Wakabadilishana namba. Badae mi nikamuhusia bwana haya mambo ya kiswahili usifatizee. We ishi mlivozoea. Kaona mie namfungia bahati. Akaanza kozi , wiki ikaisha. Sasa ndo imebaki kwenda kwenye practical.
Siku ya siku mume hana hiliwala lile bibie amchezea formation zoteeeeeee kwa mpigooo. Alizamiria ku overdose kama sio kuua. mbara wa watu, kapiga yowe kweli, basi lile yowe bibie anaona ndo hapo hapo anaongeza dozi. Achaaaaaa. Mechi imeisha mwanaume kachkua begi katia nguombili tatu kaishiaa usiku huo huo hasemi tatizo. Kesho kaitwa kikao kwa paroko n wasimazi wao wa ndoa, bwana anadai dada amechepuka weee, mpaka kawa malaya sasa, anafany mambo hatariii hata zilipendwa wake waliompagawisha kwa wife huyuwa sahivi ni cha mtoto. Huyo bwana aliempata nje ni zaidi ya fundi, na keshamfanya mkewe kuwa kashindikana. Tobaaaaaaaaa! Bi dada nokusema ukweli sasa nimejifunza nikufurahishe wewe! Loooooo! Amuamini nani? Anaonekana anajikosha tu. Ndo kunikata mie nikamsimulie mumewe ukweli. Nikamruka futi mia, akhaaaaaaaaa! Nioneane mie ndo kuwadi? Thubutuu! Au mie ndo bad influence, akhaaaaaaaaa. Nikamwmbia shoga umelikoroga, linyweeeeee. Bwana wiki ya 3 hii hajarudi kwake, anakokaa haijulikani.
Iwe fundisho wake za watu msione vichaka mshabanwa na haja kubwaaa! Mtu akikwambia kwenye ndoa yake anamlisha mumewe mavi, mume akohoi na wewe ushaingia kingi. Kutaka kula nyingi ndo kuliwa kingi sasa. Msipende kuokota okota mambo, bora ujikalie na ugoi goi wako ila mafuraha wenyeweeee.
No comments