JE WAJUA KUWA VIAZI VITAM UONGEZA HAMU YA KUFANYA MAPENZI NA KUSAIDIA KUCHELEWA KUFIKA KILELENI?




JINSI YA KUTUMIA
(1) Chukua viazi vitamu vyembamba
vyenye rang nyekundu
(2)usivimenye bali vioshe na uvichemshe km
vilivyo … Akikisha vimeiva na uviipue.
(3)Akikisha unakula na maganda bila kutumia
kinywaji chochote!!
(4) Baada ya hapo tambua kuwa mapenzi ni hisia zako hivyo
umejifunza kupika viazi vitamu na siyo tiba
mana macho yalikutoka km una tatizo hilo
muone Doctor.
(5) Usijione mpuuzi utakuwa
umejifunza kitu si kila tiba unataka kujaribu
utakunywa Sumu …. Haya share kwa rafiki yako
naye apate elimu

No comments