KUTONGOZA WANAWAKE: Kuanzia Hadharani Hadi Kitandani jifunze mbinu


Kuna yule mwanamke ambaye unatamani kuongea na yeye lakini unashindwa jinsi ya kumuapproach.

Unamfahamu yule mwanamke ambaye anaonyesha dalili za kuwa anakupenda lakini hujuianakupa ishara za kuwa yuko interested na wewe au la.

Ama  yule mwanamke ambaye ni jirani yako, kila siku ukipanga kumuapproach unatatizika.

Labda ni yule mpenzi wako uliyejuana naye hivi karibuni lakini unashindwa jinsi ya kufanya hadi akuachie MZIGO.

Ama pengine unazunguka siku nzima kwa marafiki zako na kwa mitandao ukitafuta mistariambayo itakusaidia kuongea na mwanamke yeyote.

Well. Najua kila mwanaume huwa anatatizika kwa njia moja au nyingine ikija haswa kwa maswala ya kutongoza na kuapproach mwanamke.

Kila mwanaume, wale wako single wakitafuta na wale ambao tayari wako katika mahusiano huwa wanakabiliwa na changamoto ikija katika maswala ya mapenzi.

Je utakubaliana na mimi nikikuambia kuwa haya yote ni matatizo ambayo yanaweza kutatuliwa kwa njia rahisi sana?

Haya matatizo ya kuwa unashindwa kumuapproach mwanamke yaishe na SIKU MOJA!

Matatizo yote ya kutambua  iwapo mwanamke amevutiwa na wewe au la yatatulike kwa njia iliyorahisi. Mwanzo uweze kuzijua ishara ZOTE kuanzia iwapo mwanamke anataka kukukiss ama kufanya mapenzi na wewe.

Lile tatizo la jirani yako unayempenda lakini unashindwa kufunguka liishe mara moja.

Ama mpenzi wako anayekunyima mzigo umfanye AKUPATIE yeye mwenyewe bila kumuomba!

Well. Kama paneli ya Nesi Mapenzi, tulikubaliana kuja na mkusanyiko wa mbinu na hatua zote ambazo zinahusiana na mwanamke. Mbinu ambazo zitamfanya mwanamke kujisalimisha kwa mwanaume haraka iwezekanavyo (kulingana na vile tulivyochambua mbinu hizi ni kuwa unatumia usiku mmoja kufanikisha kile ambacho unataka).

Mbinu hizi zote tumezikusanya kwa kitabu kimoja ambacho kinaeleza kila kitu ambacho unataka kujua. Kitabu chenyewe kinaitwa KUTONGOZA MWANAMKE: Kuanzia Hadharani Hadi Kitandani.

Ndani ya kitabu hiki tumekusanya hatua kadha wa kadha nazo ni:


♦Kuzijua ishara zote za mwanamke anazozitoa kuonyesha kuwa amevutiwa na wewe (hakuna ishara hata moja ambayo tumeiacha nyuma)

♦Jinsi ya kumuangalia mwanamke na macho ambayo yataashiria kuwa umependezwa na yeye.
♦Jinsi ya kuhama kutoka himaya tofauti tofauti wakati unapoapproach mwanamke. Hii ni kuanza kwa himaya ya umma (hadhira) hadi himaya ya mlalano (hii ni himaya ambayo unakuwa huru kumpapasa na kumbusu hadi kufanya na yeye mapenzi, yote kwa usiku mmoja)
♦Kuvivunja vizingiti vyake wakati unapoongea na yeye ili uweze kumgusa.

♦Kuzifahamu ishara zake za kukataa na zile za kukubali ili uweze kutimiza kile ambacho unataka kumfanyia.
♦Jinsi ya kumuapproach. Hapa utajifunza jinsi ya kumuaproach na njia tofauti tofauti bila kukuona kama tishio.
♦Jinsi ya kujenga confidence. Hapa tutakufundisha hatua za kujeuka mwanaume alpha ambaye kila mwanamke anatamani kuwa naye. Hii mbinu tutakufunza mbinu ambazo utazitumia mpaka mwanamke atakuwa anatamani umuaproach ili apate nafasi ya kuongea na wewe.
♦Pia katika kitabu hiki tutakufundisha Sanaa ya Mazungumzo. Hapa ndipo tutakueleza mbinu ya kujenga kemia na mwanamke kwa kutumia mazungumzo. Kuna mbinu kadhaa ambazo utazitumia kama sanaa ya mazungumzo. Ile mbinu yako ya kuongea na mwanamke utaiacha na utaanza kutumia hii sanaa ya mazungumzo ili uweze kumfanya mwanamke ahisi kama amekujua zaidi ya miezi sita iliyopita (Sanaa hizi zitatatua tatizo la wale wanaotafuta mistari ya kutongoza).
♦Pia utafundishwa jinsi ya kuwachagua wanawake. Kama Nesi Mapenzi, tunaamini kuwa sehemu yeyote ambayo kuna hadhira ya watu, huwa lazima kuna mwanamke mmoja ambaye yuko tayari kufanya mapenzi na wewe. Ni vile tu bado hujajua ni mwanamke yupi. Kwa hiki kitabu tutakufundisha jinsi ya kumjua huyo mwanamke na uweze kufanya naye mapenzi usiku huo.
♦Pia katika hiki kitabu kuna Programu ya Isimu Ubongo. Hii ni programu ambayo itakufunza jinsi ya kuwafanya wanawake wanaokuchukia wakupende. Programu hii itakufunza jinsi ya kuzungumza na wanawake kulingana na vile wanavyoichukulia hii dunia.

♦Na mbinu nyingine nyingi. Kitabu hiki hakijaacha kitu nyuma. Mwanzo kitabu hiki kina kurasa zaidi ya 170, hivyo kwa uhakika ni silaha nzito kwa mwanaume yeyote ambaye yuko serious kama anataka mwanamke hivi sasa.

    Ok. hiki kitabu hakikutengenezwa kwa kila mtu. Kimetengenezwa spesheli kwa WATU AINA NNE.


    1. Wale ambao lengo lao ni kupata namba ya simu kutoka kwa mwanamke (chini ya dakika 3 ya kujuana)
    2. Wale ambao lengo lao ni kupewa busu ama kiss na mwanamke (chini ya lisaa moja)
    3. Wale ambao wanataka kufanya mapenzi na mwanamke (usiku uo huo)
    4. ....na wale ambao wanataka mahusiano marefu na mwanamke.

    Kama hauko katika miongoni mwa hawa watu wanne niliowaorodhesha hapo juu tafadhali usiendelee kusoma zaidi ya hapa. Funga kivinjari chako na uache wanaume wa ukweli waendelee kusoma kile ambacho nataka kuwaambia sahizi.

    Ok, najua kufikia sasa unataka kujua jinsi ya kukipata kitabu hiki mikononi mwako. Kitabu hiki tunakiuza kwa bei ya shilingi Tsh6,000 /Ksh 300. Bei hii ni ya mara moja na hakuna hela nyingine ambazo utaitishwa wakati wa kukinunua kitabu hiki. Kama unataka kukinunua sahizi ingia .

    Ok. Kuna wengine wenu ambao bado hawajaridhishwa na vile nimeelezea kitabu hiki, ama bado unatashwishi. Well. Acha tuseme kuwa hiki ndicho kitabu cha kwanza kamili ambacho kinaeleza kuhusu hatua za kutongoza mwanamke sehemu hii. Hakuna kitabu kingine kama hiki ambacho utapata katika sehemu YEYOTE ile. Hiki ni kitabu aina yake. Mwanzo vichwa vilivyoko nyuma ya machapisho ya Nesi Mapenzi ni vikubwa. Wanajua jinsi ya kuisoma akili ya mwanamke na kuichakatua vilivyo. Pia kabda ya kukichapisha kitabu hiki, kilifanyiwa majaribio kwa wanaume kumi. Baada ya wiki mbili kila mmoja alikuwa ameshadeti  wanawake zaidi ya watano na walifanikiwa walichokuwa wakilenga. So kama umeshajibiwa jibu lako ingia hapa ukinunue muda huu.

    Kama bado unawasiwasi na bei ya kitabu hiki hebu turudi nyuma kidogo. Wakati unapotongoza mwanamke huwa unatafuta nini? Wengi huwa wanataka mapenzi. Ni wangapi huwa wanayapata? Wachache. Na hao wachache wanaopata mapenzi, kabla ya kupewa mapenzi watakuwa wametobokwa hela ngapi? Maelfu ya mapesa yasiyohesabika. Na hawatakuwa na uhakika kama wataweza kupewa hata busu la shukrani. Hapa kwa kuwa tumeelewa matatizo ya wanaume kwa wanawake, tumekuja na bei ambayo ni kama bakhshishi kwa mwanamke. Shilingi Tsh6,000 /Ksh 300 kwa mwanamke hio ni vocha ya wiki moja tu, na bado hujampangia plani ya wikendi. Lakini kwa kukinunua na kusoma hiki kitabu hutatumia hata peni kumnasa mwanamke. Mwanzo badala yake anaweza kukununulia wewe (kuna mbinu tumeifafanua kwa kitabu).

    No comments