MESEJI TAMU ZA MAPENZI ZA KUMTUMIA MPENZI WAKO



hakiyanani mpz unanidatisha ukitembea unatingisha,
mwenzio unanipagawisha kwako nimefika
na hii namaanisha nakupenda
......................
kama kuvumilia nimevumilia na sasa yatosha,
nikoradhi mbivu zako kuzikosa,
kuliko kuendelea kujitesa,kumbuka nilikupenda
......................
sioni zawadi ya kukupatia kwa mapenzi unayonipatia,
moyoni nimekuridhia wewe pekee penzi langu daima
kukupatia ...

No comments