UNAZIJUA DALILI ZA WATU WA AINA HII??????
1.Wanazidi kusema ‘Niamini’ au ‘Uwe na imani na mimi ‘
kama utaendelea kusem niamini au uwe na imani , Naweza nikakuamini lakini au nisikuamini.
2.Ni msichana anayesema vijana wote ni marafiki zake.
Marafiki zangu wote ni wavulana , sitaki maigizo na umbea wa wasichana ”
3.Wako tayari kuwa marafiki wa karibu muda mfupi tu mnapokutana .
Watu ambao wanaweza kuwa marafiki zangu wa karibu ninapokutana nao kwa asilimia 100, tutatoka pamoja. nina wasiwasi huenda sio kweli ni mbinu tu.
4.Watakuhakikishia jinsi gani walivyo .
Mimi ni mmoja wa watu ambao hutaweza kukutana nao. Hapana.
5.Kufurahia ubaya wake.
Kujipongeza na kufurahia kuwa mtu mbaya.
6.Kujionyesha kuwa sahihi kwenye mahusiano ndani ya mitandao.
Mtu anapokuwa anashiriki zaidi kwa kusema ana mahusiano mazuri kwenye mitandao , ni kumi kwa mmoja , yupo kwenye moto huyo
7.Ex wake wote walikuwa ni watata.
Ni watu watata na wenye siri
8.Kuongea Umbea wa ofisini. ombea wa ofisini, umesikia kuhusu Halima ana mimba? Kuna mtu ambaye huwa anapenda kuongea mambo ya watu kila siku kama ukimpa nafasi utasikia, fulani mchelewaji, hawafanyi kazi, hata kwenye meseji ni kuhusu hayo hayo. mbaya zaidi hata kama umekaa naye karibu anakutumia meseji kukuambia umbea huo.
saa nyingine zipuuze hizo meseji. kama utamsikiliza sana ataweza kukusema hata wewe ukigeza tu shingo yako.
9. Wanapenda kushabikia hadithi na kujifananisha na hizo.
Wao ni nzuri, nilifanya kama hivyo, ila nilishindwa hiki na kile , Sikuwa na salio, Sikulala vizuri masaa 24.
10.Wanasema mambo ambayo yamekwenda vibaya .
Vitu kama nilisahau kulipia bill, nimefukuzwa kazi, wanalaumu watu au kukosa bahati aua kwa mambo mengine. Ina maana hawawajibiki kwenye majukumu.
11.Kuongea vibaya kuhusu wengine.
Nilikuwa na rafiki ambaye alikuwa akiongea umbea wa wengine. kwamba rafiki fulani alikuwa hivi, nikamwacha. huyo atakuongelea hata wewe ukimruhusu
12.Hakuna kosa lao kamwe.
Inapokuwa hakuna kosa kwao. wanalaumu vitu vingine , watu wengine , lakini hawachukui jukumu kwa ajili yao.
13.Hawapendi maigizo.
Oh sipendi maigizo. Sio mtu wa kuigiza , hutaniona nikifanya hivyo. Kimbia.
14.Wanajifanya kuwa ni watu wakweli kwamba wengine hawawezi hicho.
ni mtu mkweli mimi baadhi ya watu hawawezi kuwa hivi.
15.Vifungo vitatu vya shati viko wazi .
kimoja kiko wazi ni sawa, viwili viko wazi nitakuwa na ujasiri kidogo, vitatu , kitu chochote unachosema sitakiamini.
16.Mkono wenye nguvu wakati wa kusalimiana.
mtu yeyote anayekandamiza mkono wakati mnasalimiana sio salama , usimwamini. tafuta heshima yako.
17.Mkono mdhaifu wakati wa kusalimiana.
mtu wa kawaida hawezi kufanya hivyo. atakuwa na mkono wa kawaida.
18.Haoni mwanamke kama ni mtu.
wapo watu wa aina hii , hufikiria kufanya sex, hawana mawazo mazuri kwa mwanamke, ni waongo , watakutoa out, lengo lao ni moja tu, sex. Usimwamini mtu kama huyo.
19.Ni wepesi wa kushiriki pamoja .
nimepata wasiwasi sana kwa watu wanaoshare sana, ukweli ni vitu vya giza, huenda ni katika huruma wanataka kuonyesha , na kuonyesha ukaribu kupita kiasi . watu hawa ambao kwa haraka sana wanaweza kuonyesha mambo kama haya baadae watabadilika .
20.Wanaowasema marafiki zao mara tu wanapoondoka.
Ni wazi hata wewe atakusema ukiwa haupo naye. kama anaweza kuwafanyie wenzake hivyo , atafanya na kwako. kwa hio usimpe habari zako na muda wako. kuwa mbali naye.
21.Anajifanya mtu mzuri na mwenye furaha wakati wote.
kama atakuwa hivyo ni mdanganyifu , anajifunika kitu ndani yake.
No comments