Hivi Ndio Jinsi ya Kusafisha Meno ya Rangi ya Njano Au Yale Yaliyoathiriwa na Maji ya Arusha..
Niaje Wakuu leo nawaletea Dawa Madhubuti kbs ya kusafisha meno yenye rangi ya Njano
Kwanza unachukua baking soda ile ya simba mbili yenye kiboski cha blue na red vijiko vya chai viwili maji ya ndimu kijiko kimoja au zaidi changanya mchanganyiko mzito utia kwenye mswaki unakutumia kama dawa ya meno.Tumia mara moja usiku au asubuhi for one week.Ili kuona Maendeleo ni vizr ukafanya Uphotographer kdg ukajipiga Picha za Before & After itakuwa vema zaid kujua maendeleo yako
Note: Make sure ni baking soda na sio ile iliyoandikwa ama kuchorwa maandazi simba mbili

No comments