NIMEMFUMANIA MKE WA RAFIKI YANGU AKILIWA URODA NA MWANAUME MWINGINE NIMWAMBIE MUMEWE?ONA HAPA TU

post-feature-imageKatika hali nisioitegemea tumegongana ana kwa ana gest mi na shemeji yangu wa karibu ambae mme wake tunafanya kazi pamoja. mimi nikiwa nampeleka mgeni wangu kwenye chumba alichofikia mara ghafla chumba chumba cha pili mlango ulifungulia na kikatokea kichwa tu kugeuka tukagongana ana kwa ana huyo shemeji yangu ilichukua takriban sekunde 30 kukodoleana macho na baada kutoa salam sauti ya chini mimi niliingia chumba cha mgen wangu kumuaga na kumtakia safari njema wakati natoka huku mwili ukiwa umekufa gan kwa kutoamin nilichokiona kwa shemeji yangu na kutambua alienipokea zamu ya lindo saa 12 jion mke wake ana madudu niliishiwa nguvu kabisa, alikuja mhudum wa ile gest akaniitia chemba baadae akaja jamaa ambae sikuweza kumtambua kutokana na mazingira na kunieleza kilichotokea muda mfupi uliopita anaomba iwe niifanye kuwa siri kwanza ametokanae mbali isitoshe ni mzazi mwenzie na akanikabidhi elfu 70 ambayo mi nilikataa kuipokea huku nikimwambia kwasasa nahitaji kuwahi nyumbani mambo mengine tutawasiliana kwa simu ili kukwepa ushaidi niliondoka lakin hatua chache baadae ilipigwa simkuingalia ilikuwa ya shemeji yangu akinisihi lile suala anaomba liwe siri kwa gharama yoyote ile na nimpe muda mfupi mtu wake anafanya michakato ya hela soon nitapata kwa njia ya m-pesa. kubwa kwangu jamaa tumetokanae mbali sana urafiki kwetu ni zaidi ya ndugu tumesoma shule ya msingi moja tumeachana sec. tumeingia depo pamoja na kupangiwa kituo kimoja yaani kama bahati tu hofu yangu ni kwamba asikie hii isue najua alaf sikumpa taarifa atanionaje mimi? mpaka sasa natambua kwamba ameoa na ana watoto wawili huyu jamaa ameniambia kwamba ni mzazi mwenzie nashindwa kuelewa na proces zote za uchumba mi nilihusika na sikuambia kama amezaa, katika nyakati tofauti nimeingiziwa kwa mpesa zaidi mil. 1.2 kwa saa 17

No comments