MANENO YA MAHABA KWA MPENZI WAKO....
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwb7BejCrhny1wQPFyt6Btmb6W8zK5GmyE5mnsfim2slyKifT7f55g0mgC-ZKo4pwzeU55Ojcj97D-oGpSU_5dZ-kI20nMoI-9FZWaS0uaSMFvhTeUUei6MPh2m4dvnmMB0GQS7wgtVfU/s320/om-love.gif)
leo nataka kuzungumzia maneno ya mahaba,
jamani tunajuwa ya kwamba ukiwa na mpenzi wako unafurahi zaidi pale japo
muda fulani atakupa maneno matamu, na mazuri na yenye kuzidi kukupa
moyo wa wewe kuzidi kutaka kuwa naye...
sasa kuna wapenzi wengine hata mimi
nilishapitia mmoja wakati fulani, jamani wanaume na wanawake wenzangu
hebu tujitahidi maneno kama mpenzi, honey, sweety, mkiwa mbele za watu
kumuita mpenzi wako sio mbaya maana wengine haswa waliozaa utasikia baba
fulani mara mama fulani inamaana baada ya kuzaa mpenzi, sweety, honey
umeisha?????? tunawapenda sana watoto wetu lakini wao wananafasi yao na
mwenza wako ananafasi yake...
kwenye sita kwa sita watu utawakuta kimya tu
madai wanasikilizia uhondo, jamani kuna maneno pale ama mnaoneana aibu
sasa kwangu raha mpenzi aongee aniambie anavyojisikia wapi niongeze,
vipi nikae, wapi nimshike kwa sauti ya taratibu na yenye mapenzi
tele....sijui wewe mwenzangu
sasa pakiwa kimya tu jamani na ndio kwa
mfano kitanda ndio vileeee ukigeuka tu majirani mpaka watujuwa hizo
kwinyo kwinyo kwinyo hapo kwenye mechi sindio balaa maana utakuwa
usikilizii raha unakilaani kitanda tu hichi nacho mpaka watu wajuwe leo
napewa.....
kama mnaona aibu kuongea basi kama chumbani
kuna redio wekeni hata mziki wa taratibu kuwahamasisha zaidi, maana ule
ndio utakaoongea kwa niaba...
maneno ya mahaba jamani ndio mafuta tosha ya kuendesha hilo gari la mapenzi...
No comments