MESEJI ZA MAPENZI
Mmh kweli wewe ni mtaalam unayejua kuitumia yako kalamu kila nikuonapo napata hamu hujihisi kupoteza fahamu naomba ufahamu wewe ndio wangu mtaalam NAKUMIS SANA
++++++++++++++++++++++++++
Ooh my ,,,,,,hivi ni kweli umebanwa na kazi au unaniwekea pozi mawasiliano yalikua ayaishi tulipo lianza letu penzi Leo si cm wala sms nizipatazo kwako mpenzi hakika unipendi siku hizi enewei sina jinsi zaidi ya kumshukuru mwenyezi
++++++++++++++++++++++++++
No comments