SIRI YA KUMDHIBITI MWENZA WAKO ASICHEPUKE
#1HAKIKISHA UPENDO
unatawala wakati wote pasipo kujari ni nyakati ipi unapitia ama ni changamoto gani uko nayo kwa wakati huo.Na ukifanya hivyo itakusaidia kuwa na maamuzi sahihi wakati wote.
#2FURAHA
ukiweza kuwa na upendo wakati wote furaha huja bira kulazimisha kwani upendo ndio nguzo ya kila jambo litokalo moyoni.
Lakini unaweza ukaingeza furaha ya mwenza wako kwa kumnunulia vijizawadi,kumsifia mara kwa mara,kujitahidi kurudi nyumbani mapema na TENA KUNA SIRI KUBWA SANA YA KURUDI NYUMBANI MAPEMA kama ukifanikiwa hili basi mwenza wako hatokuwa na wasiwasi na wewe kabisa.
#3TENDO LA NDOA
hapa sasa ndio kwenye kizaizai wahenga wanasema MWANAUME HASIFIWI KULA wengine husema MWANAUME MASHINE sasa tukutane wakati mwingine kwa somo.
No comments