Tumia Kitunguu Swaumu Ili Kuzua Kuwahi Kufika Kileleni Mapema
Hivi
karibuni kumekuwapo na tatizo la wanaume wengi kuwahi kufika kileleni,
huku kitendo hicho kikichangawa na sababu mbalimbali ikiwamo mawazo na
sababu nyinginezo.
Ikiwa wewe unatatizo la kuwahi kufika kileleni basi inasadikika ya kwamba kitunguu swaumu ni tiba tosha.
Sifa kuu zinazokifanya kitunguu swaumu kuwa na uwezo na faida nyingi
mwilini ni kule kuwa kwake na viasili kadhaa (ingredients) ambavyo
vinafanya kazi tofauti tofauti. Uwezo wake wa kiutendaji unatokana na
sifa zifuatazo:
Vina uwezo wa kusababisha kutanuka kwa mishipa ya damu (vasodilation)
kwa kubadilisha polysulfides zilizopo ndani yake kuwa hydrogen sulfides
kwenye seli nyekundu za damu.
Husaidia uthibiti wa kiwango cha sukari mwilini kwa kushusha kiwango cha
kemikali ya homocystine na hivyo kupunguza madhara ya kisukari.
Ukivikata vipande vidogo vidogo hivi (chop), vitunguu swaumu hutoa
kemikali iitwayo kwa kitaalamu kama ‘Allicin’ ambayo ni dawa dhidi ya
bakteria, na ‘Phytoncide’ ambayo huua fangasi mbalimbali mwilini.
1. Chukuwa kitunguu swaumu kimoja.
Kigawanyishe katika punje punje
2. chukua punje 6
3. Menya punje moja baada ya nyingine.
4. Kisha vikatekate (chop) vipande vidogo vidogo sana na kisu na uache hivyo katika hewa kwa dakika 10
Baada ya hapo meza kama unavyomeza dawa na maji nusu lita kila unapoenda
kulala. Namna nyingine nzuri zaidi ni kuviweka ndani ya kikombe kimoja
(robo lita) cha mtindi freshi koroga vizuri na unywe na hii itakusaidia
kupunguza harufu mbaya ya kitunguu swaumu huku ukipata faida nyingine
mhimu zilizomo kwenye mtindi.
No comments