Katika mahusiano baadhi ya wapenzi
hupenda kutumiana card,,kiukweli hiki ni ktu kizuri kwa wapenzi kufanya
hivyo mara kwa mara kwani huongeza mvuto katika mapenzi walio wengi
hupenda kutuma kadi kwa mpenzi aliyembali,,kadi,wakati wa sikukuu
mbalimbali lakini ni muhimu kutumiana kadi hata kama sio kipindi cha
sikukuu wakati wote utakapojisikia kwani kadi ni moja ya zawadi kwa
umpendaye.na wakati wa kununua kadi ni vizuri kuzingatia maneno
yaliyoandikwa katika kadi kwani vinginevyo unaweza kufikiri
umemfurahisha mwenza wako kwa kumtumia kadi kumbe umemuuzi kutokana na
maneno yaliyo katika kadi uliyomtumia.
|
No comments