STORI TAMU MALKIA WA JELA SEHEMU YA TATU
.............................. ......
Alipofika mama yake alishangaa kuona akiwa analia na kuamua kumwuuliza ni kitu Gan ambacho kimemsibu
"Kulikon tena tiyar mmesha udhiana huko maana hamkawii mnakuwa Kama watoto wadogo....Haya kafufanyaje mwenzio ?
"Mama BEN Leo wakunifanyia mie hiv kweli mama
"Sasa usiponieleza Mimi sintojua nikusaidiaje hebu nambie moja kwa moja nini tatzo
"Mama BEN kila siku Ana amka saa kum na moja na kusema ratba ya kazn
imebadilika kwakuwa naamin tunapendana nikaamn itakuwa kweli sikutaka
kumwuuliza DAVID kumbe ananiongopea Mimi na kwenda kulala na wanawake
wengine gest mama" Aliangua kilio
"Hebu nyamaza kwanza usilie haya yote umeyataka Mimi na mama yako mdogo
tulikwambia BEN hakufai mtoto ukang'ang'ana unayaona sasa anayokufanyia
sasa basi nataka uachane nae na kuanzia Leo urud nyumban
"Eeeh mama siwez kurud nyumban mama ile ni nyumba yangu isitoshe BEN ni Mme wangu Nina ndoa nae
"Mmh! Kumbe umekuja kunijarbu siyo Kama unampenda umeijia nini hapa
ungejua hilo simngeyamaliza nilivo simpend Mimi huyo mwenzio nilijua
atakusumbua nanitahakikisha unaachana nae "
LINDA aliamua kunyanyuka na kurud chumban kwake
BEN baada ya kufika nyumban hakuweza kukuta mtu na geti likiwa limefungwa ilimbid aondoke na kuelekea kazn
Baada ya siku kadhaa kupita ilimbid LINDA aweze kukutana na DAVID na kuweza kuongea nae
"Shemej Kama nilivokuambia BEN amebadilka mno sijui n kwanini simwelew
inafikia hatua ananiongopea ofisn mnaingia saa kum na mbili anaamka saa
kum
"Shem ulifanya vbaya kuto kuniuliza BEN nimchelewaj mmoja mzur tu pale
ofisn kila mtu anamjua yupo pale kwaajil yangu ni kweli amebadilika
inafikia hatua hata naona aibu nikiwa Kama mtu wa karibu niliyemtafutia
kazi pale
"Shemeji nadhan unajua ni kias Gan ninavyompenda nilikuwa nikigombana na
mama pamoja na mamdogo kwaajili ya BEN ili tu niweze kuwa naye hatiamye
tumefunga ndoa nyumba yangu nimeamua kuandika jina lake halafu Leo
kweli inafikia kunilpiza haya
"Shem mim nitapanga muda niongee nae Kama atashindwa kubadilika siyo sir nitashindwa nimteteaje maana hata kazn watamwondoa
"Ukiongea nae utakuwa umenisaidia sana anayonifanyia mpk najutia maamuz yangu
"Usijali Shem atabadilika tu
"Nakutegemea Sana Shemeji yangu nisaidie
Katika maeneo ya nyumban BEN akiwa seburen anakunywa Soda huku
akitazama TV alinyanyuka Mara moja na kuelekea chumban kufuata kitu TABU
akawa ameingia ndan alipokuta ile soda mezan alimimina kwenye glass
aliokuwa ananywea BEN na kuanza kunywa huku amesimama akiwa ana pepesa
macho kwenye mazingira ya pale seburen Muda huo huo akawa anaingia
LINDA akaweza kumkuta TABU pale seburen
"Wewe ni nan naunatafuta nini nyumban kwangu "Aliuliza LINDA
"Hhahahaa pole kumbe bado unakibarua Eeh .....hujanijua Mimi ningependa nikuulize wewe "TABU alimjibu kwa dharau
Ilimbid LINDA aanze kupaza saut akimwita BEN ,BEN alitoka hajui
kinachoendelea huku na CD ya movie mkonon ambayo alikuwa ameifuata
Alipofika seburen alishangaa kumkuta TABU tena akiwa amebebelea ile
glass ya soda aliyokuwa akiitumia
"BEN kweli umenichoka hukumbuki fadhira zangu niligombana na mama angu
kwaajili yako Nyumba yangu nimefuta jina langu nikaandika lako kumbe
hukumbuki nilipokutoa BEN "Aliongea kwa uchungu huku machozi yakimtoka
"TABU umeijia nini hapa ?
"Kwani kunatatzo kumtembelea Mume wangu
"Unasema nni ?
"Unamsikia BEN umenichoka kias hiki umeamua kuniletea mpk mwanamke ndan kweli BEN shukran ya punda..........
"Na haya ndo mateke "Alimjibu TABU huku akionesha kujiamn na kumnyali mbele ya BEN
"We malaya Naomba utoke "Aliongea LINDA kwa sauti ya juu
"Hahaha wakunitoa itakiwa wewe hapa sitoki nitaondoka nikitaka "
"TABU siuende "BEN aljaribu kumwambia akitegemea ataondoka LINDA
alisogea mpk mezan na kunyanyua ile chupa ya soda na kutaka kumpiga nayo
TABU ,BEN aliwahi kuzuia na kujikuta ikimpata kichwan ile chupa na
kuanguka chin LINDA alibaki ameshkilia kipande cha chupa mkononi
alikitupa chin na kujitazama mikono yake
BEN damu nyingi zilikuwa zikimvuja kichwan pamoja na puan
TABU alivyoona vile aliamua kuweka glass mezan na kukimbilia nje
LINDA taratibu alisogea alipokuwa ameangukia BEN na kupiga magoti kisha
kumwinamia kifuani huku akimtikisa aamke na kilio cha uchungu kikimtoka
kilichoambatana na kwikwi Mara ghafla TABU anarud akiwa na polisi "Huyo
hapo Afande Mwuuaji "Aliongea TABU mbele ya wale Polisi
Polisi walitoa silaha na kumnyooshea LINDA huku wakimtaka anyanyuke
kisha ageuke nyuma kisha afande akatoa pingu na kumvisha na kuweza
kuondoka nae kuelekea kituon huku afande mwingine akiwasiliana na askar
wenzie kwaajili ya usafiri wa kuubebea mwili wa BEN
LINDA alimaliza kumsimulia chanzo kilichompelekea kuwemo mule ndani
"Pole Sana LINDA wanaume siyo watu wazur hata kidogo tukio langu
halitofautian na lako hata kidogo "aliongea PENDO na kuanza kumsimulia
Ilikuwa siku moja jion kuna rafiki yangu wa kike aliyeitwa DINA
tulipendana Sana siku moja nikiwa sina hili wala lile mida ya saa kumi
na mbili jion DINA alikuja nyumban kwangu huku akionekana ni mtu
aliyekuja anakimbia nilipojarbu kumwuuliza akanambia amemwona GEOFREY
ambaye ni bwana wangu anaingia Hotel na msichana "mh! Utakuwa
umemfananisha GEOFREY Hana tabia hyo halafu yuko safar tangu juz "
nilimwambia DINA lakin DINA alinisisitiza niweze kwenda nae na
kushuhudia kwa macho Moyo wangu ulikuwa mgumu kumwamin bado niliamin
GEOFREY alikuwa safarn huenda amemfananisha "PENDO najua ila twende
kwanza Kama siyo yeye nitakulipa gharama za usumbufu "Aliongea DINA
"DINA we nisumbue tu ole wako "Nilimwambia maneno hayo Kisha nikatoka
nae na kwenda kuingia ndan ya gari na kuelekea maeneo ya Hotel
alipomwona akiingia GEOFREY nilipofika nilipaki gar kwa pemben na
kushuka kwenda kujarbu kuulizia Reception "Dada samahn kuna mgen wangu
anaitwa GEOFREY ninatakiwa kuonana nae sijui yupo"Nilimwuuliza yule
mdada aliyekuepo pale reception "Aam tuna wagen wengi Sana sasa sijui
huyo unayemwuulizia anaitwa GEOFREY nan ?"
"Anaitwa GEOFREY JONAS " Yule Dada aliangalia kwenye kitabu cha list ya wagen aliowapokea
"OK ila Ana mgen tiyar halafu hakuniachia maagizo yoyote kama kuna mtu
atakuja"aliongea yule Dada wa Reception "Dada sisi niwafanya biashara tu
hata huyo aliyanae ni mfanyabiashara mwenzetu pia "Nilijarbu
kumwongopea ili nipate nafas ya kwenda kumshudia kwa macho yangu
"Mfanyabiashara Dada labda utakuwa umekosea tu jina au mgen nliyenae
majina yamefanana na huyo mtu wako aliyeko hapa yupo na mkewe Leo siku
ya tatu sasa unaponambia hivo kwamba n mfanyabiashara mwenzie nashindwa
kujua nikusaidiaje " Maneno aliyonambia huyo Dada nilimtizama DINA
pemben huku nikijifikiria nitumie njia ipi "Mmh! Saw a ila samahan kwa
kukuongopea Mimi n Dada yake sikupenda ujue hilo na GEOFREY
alishanipigia Sana simu kuniomba nije kumwona ila kutokana na kazi nyng
nikawa sipat muda ikashindikana na hapa nimetoka kazn nikaona acha
nionane nae then niende nyumban"Nilijiumauma kwa kuunda maneno ya uongo
"Kama ni hivyo bas ngoja nimpigie simu "
"Aa haina haja Dada huniamin "Nilimwuuliza yule Dada "Hapana ila ndo kaz
yangu kumtaarifu mteja hili Kama anajua ujio wako kuna watu wengine
hawapend usumbufu "Alinambia yule Dada "usijali Bwana "PENDO alitoa noti
ya Elfu kumi na kumpatia "Sawa nenda namba 124 " DINA alipotaka
kuongozana na Mimi yule Dada aliomba niende mwenyewe kwa kuwa si
taratibu za Hotel yao Nilipandisha ngaz mpk sehemu iliyokuwa na vyumba
vimepangana nikaanza kuangalia kila mlango kuipata namba 124 na kuweza
kuupata Nilishusha pumzi na kutaka kubisha hodi nilikuwa nikisita sita
nikajikaza na kuamua kubisha Nikasubr kwa mda kidogo akatoka mwanamke na
kuja kunifungulia mlango yule Dada alikuwa amejifunga taulo "Samahan
Dada sijui unashida gan maana hatujaagiza kitu chochote huenda umekosea
chumba"Aliongea yule Dada baada ya kufungua mlango Nilimpush na kuingia
ndan kwa nguvu na kumkuta GEOFREY akiwa amevalia boksa
No comments