Chezea mafuta ya ndimu weye..
Jamani wanawake woote mliofika siku ya kufundwa hongereni sana
yani manajuwa na kujiamini kwamba nyie ni wanawake na mnatakiwa muwaje
kuwa ng'aring'ari siku zote na hayo ndio maisha mwanamke ujipe raha
mwenyewe bwana mengine yote yatafata baadaye.
Wliokuja ijumaa wanakumbuka walifundwa kuhusu mafuta na matumizi
yake chumbani kulikuwa na mafuta ya kila aina leo nitaweka mafuta
matatu tu na ndio mwisho kwa yeyote anayetaka kujuwa basi asubiri
tukifunda tena ndio aje asidandie gurudumu la wenzao.
Mafuta ya ndimu katika mwili wa mwanamke husaidia kuusafisha uke
na kutoa bacteria zote zilizopo mule, namaanisha nini wanawake sisi
huwa ukeni kunapitia mambo mengi sana ukiacha uume tuna bleed, huwa
tunajifukiza huko, tunatumia sijui madawa gani ya kuoshea huko yani
vurugu kibao na haswa haya madawa tunayonawia huko huwa yanamadhara sana
ndio maana mimi na kungwi wangu tunashauri kutumia vitu vy aasili
ambavyo havina chemical.
Mafuta ya ndimu ni mazuri sana katika kusafishia huko ukeni
utafanyaje ukishamaliza kuoga na kutawaza ukeni utachukuwa gozi utovye
katika yale mafuta yako ya ndimu na kulitumbukiza gozi ukeni ukisafisha
taratibu katika kila kuta uhakikishe umesafisha vizuri kabisa toa gozi
lako usinawe kwa maji vaa chupi yako endelea na kazi zako mpaka jioni
ukiwa unaoga ndio upasafishe ulale ukiwa fresh baada ya kuoga jioni
usipake tena kitu chochote kile lala hivyohivyo.
Endelea kutumia mafuta ya ndimu mara kwa mara utaona kama
utalalamika mambo ya UTI na madhara mengine ya ukeni. kwa anayetaka
mafuta haya anipigie simu chupa ni 10,000/= kwa waliokuja kufundwa
waliuziwa kwa nusu bei ndio maana nashauri sana tukiwa tunafunda
wanawake mjitokeze jamani na muwe waangalifu kwasababu nimeanza kufunda
basi kila mtu nasikia na yeye anataka kufunda kuweni makini na
mnapopeleka hela zenu na mtakachopata.

No comments