HATARI: Namna wanaume wanavyojiua kwa kumwaga shahawa

KIFO KIDOGO ( THE TITLE DEATH/LE PE IT MORT).
SOMO HILI LITAWAHUSU MWANAUME.


Mwili wa binadamu huwa na nguvu nyingi tofauti . miongoni mwa nguvu hizo na ambayo ndo kubwa kuliko nguvu zote ni NGUVU YA KIUME(NYEGE)

‌Nguvu hiyo huzalishwa kwenye korodani na kuhifadhiwa kwenye MBEGU ZA UZAZI ZA MWANAUME.Pindi mwanaume anaposhikwa na hamu ya kufanya mapenzi,NGUVU HIYO YA KIUME hutanuka na kuuchaji mwili wote wa mwanaume kwa nguvu hizo.

‌Mwili na moyo wa mwanaume ghafla hujazwa na tamaa ya kufanya mapenzi na joto na mwili huo hubadilika ndani ya sekunde kadhaa.

Hali hii utokea pindi mwanaume akivutiwa na mwanamke fulani kwa sababu mabilioni ya MBEGU ZA UZAZI ZA KIUME huanza kutingishika(vibrate) na kutengeneza nguvu ya mvutano wa kimapenzi(sexual electromagnetic energy). sasa nguvu hii ya kiume huanza kuzunguka mwili mzima na kisha kuzitawala nguvu nyingine kwa sababu nguvu hii huzizidi aina zote za nguvu kwenye mwili wa mwanaume.

Uwezo wa mwanaume kufanya mapenzi hutegemea na uwezo wa nguvu zake za kiume kuufanya uume huo uweze kusimama.

Kwa kawaida umwagaji wa shahawa/ kukojoa huwa ndo kitu kinachoashiria kuisha kwa tendo la kujamiiana.Mara baada ya kumwaga shahawa mwili huanza kufanya kujudi za kudhalisha mbegu nyingine za kiume.kadri mbegu hizo zinavyopotea basi ndo kadri mwili unavyolazimishwa kizitengeneza.

Hakuna dawa,chakula wala ukombozi wa kiroho ambao unaweza kurefusha maisha ya mwanaume kama atashindwa kujua siri juu ya nguvu YA SHAHAWA PAMOJA NA NAMNA YA KUZITUNZA.

Umwagaji wa shahawa humfanya mwanaume kupoteza nguvu nyingi sana mwilini mwake kuliko kitu/ kazi yoyote ile ambayo mwanaume huifanya"Mara baada ya mwanaume kumwaga shahawa, kitanda na mto humvutia zaidi kuliko mwanamke ambaye huwa nae.Msemo huu humaanisha kuwa wanaume wengi hupenda kupumzika au kulala mara baada ya kumwaga shahawa"Mwanaume mmoja alisikika akisema hayo katika maongezi yake.

Shahawa ni mchanganyiko wa mbegu za kiume na maji maji(maji maji+mbegu za kiume= shahawa).

Kazi ya mbegu za kiume huwa ni kutunga mimba,wakati kazi ya maji maji ni kuzibeba mbegu hizo kutoka sehemu zinapozalishwa na kuhifadhiwa na kuzisafirisha kutoka sehemu hiyo hadi kwenye mji wa mimba.

Mfano mzuri ni daladala na abiria.katika mfano huu abiria ndo huwa kama mbegu za kiume wakati dala dala ndo huwa kama maji maji.kazi ya daladala huwa ni kubeba abiria hao kutoka sehemu moja kuelekea sehemu wanapoitaji.abiria wakishafika sehemu wanayoitaji basi hushuka na kufanya jambo lililowapeleka sehemu hiyo.

Mbegu za kiume pia nazo hufanya vivyo hivyo,kwa baada ya kubebwa na maji maji kutoka sehemu zilipohifadhiwa,zikishafika sehemu ambayo mbegu hizo hutaka kwenda,basi mbegu hizo kuendelea kufanya shughuli zake ambazo ni kutunga mimba.

Kwa kawaida mwanaume umwaga shahawa ambazo zinaujazo wa nusu kijiko cha chai.katika shahawa hizo ndani yake huwa kuna mbegu za kiume kuanzia millioni 40 hadi bilioni 1.5 kwa wastani.hivyo basi tunaweza kuona kuwa kuna idadi kubwa sana ya mbegu ambazo mwanaume hupoteza kila amwagapo shahawa,kwani pamoja na uwingi huo,ni mbegu moja tu ndo hutakiwa ili kuweza kurutubisha yai la mwanamke na hatimaye kutunga mimba.

Kama mbegu zote ambazo huwa kwenye shawaha zingekuwa na uwezo wa kutunga mimba moja moja,na kama mwanamke angekuwa na idadi ya mayai kama iyo ambayo nayo yangekuwa na uwezo wa kuzipokea mbegu hizo,basi ni wazi kuwa udadi yote ya watanzania ya bilioni 50 ingeweza kupatika kwa mwanaume na mwanamke kujamiina mara moja tu.kwa maana nyepesi goli moja la mwanaume linauwezo wa kuleta watu mara 25 ya idadi yote ya watanzania kwa sasa au idadi yote ya waafrika kwa sasa.

Hivyo basi tunaweza kuona kuwa goli moja la mwanaume au shahawa linanguvu kiasi gani.
Mbegu za kiume huzalishwa kwenye korodani.ijapokuwa ya kuwa mbegu za kiume huzalishwa kwenye korodani lakini kila ogani na tezi ya mwili huusika katika uzalishaji wa mbegu hizo kwani kila ogani na tezi hutoa mchango ili korodani kuweza kutengeneza mbegu hizo.mbegu moja huchukua wastani wa siku 60 tangu kutengenezwa hadi kukomaa.kuna nguvu kubwa sana hutumika katika kutengeneza mbegu hizo kwani mbegu hizo ndo hubeba nguzu ambazo zikiungana ya yai la mwanamke basi uhai wa mwanadamu huweza kupatikana.katika maana nyingine ni kuwa nguvu hii ndo nguvu kubwa katika mwili wa binadamu kuliko nguvu nyingine na kadili mwanaume anavyomwaga shahawa basi ndo uzidi kuipoteza nguvu hiyo kwani katika mwili wa mwanadamu nguvu hiyo huwa kama betri,namna unavyolitumia ndo linavyoisha nguvu na hufikia muda ambao betri hilo hupoteza nguvu zote na huchajiwa ili kuweza kuongeza nguvu nyingine.

Katika mwili wa mwanaume ipo hivyo pia,kuwa kadri mwanaume anavyotoa shahawa nje ndo hupoteza nguvu yake na hufikia muda mwili hushindwa kabisa kuzalisha mbegu hizo kutokana na nguvu hiyo kutumika yote na mwanaume huyo kukosa njia za kuchaji korodani ili iendelee kupata nguvu ya kuzalisha mbegu hizo.

Ili kunyosha maelezo naomba nitumie mfano huu,
Nguvu za kiume,kila mwanaume huzaliwa nazo.Nguvu hizo pia huwa na kiasi chake.
Mfano ni kama mfanyabiashara kuwa na mtaji wa milioni moja. akifanya biashara na kupata faidi basi mtaji huongezeka ila akipata hasara basi hiweza kujikuta akitumia mtaji wake taratibu mbaka mtaji unaisha kabisa.

‌Mwanaume hana tofauti na mfanyabiashara kwani yeye mtaji wake huwa ni nguvu za kiume.nguvu hizo huifadhiwa kwenye mbegu za uzazi.sasa kadri anavyomwaga shahawa ndo anavyozidi kupoteza nguvu hizo na kama hajajua namna ya kuchaji au kuzihifadhi mbegu zake za uzazi kwa maana ya kuwa kufanya mapenzi bila kumwaga shahawa basi lazima itafika kipindi mbegu zake za uzazi zitakosa nguvu kutokana na kuisha kwa nguvu hizo,hivyo basi mwanaume atakuwa anatoa shahawa/ au mbegu za uzazi lakini atashindwa kuzalisha kwani mbegu hizo hikosa nguvu.

Katika utafiti uliofanya na bwana KINSEY ambao uliwajumuisha wavulana kadhaa ambao hawakufikia umri wa kubalehe ulionyesha kwamba wavulana hao waliweza kufanya mapenzi kwa muda mrefu na waliweza kupata vilele/kufika kileleni zaidi ya mara tisa.utafiti huo ulikuwa na lengo la kuthibitisha kuwa wanaume wanauwezo wa kufika kileleni mara nyingi kama wanawake tu na pia wanauwezo wa kufika kileleni bila kumwaga shahawa kwa sababu kumwaga shahawa(ejaculation) na kufika kileleni(orgasm) ni vitu viwili tofauti na wanaume ambao wanauwezo wa kufika kileleni bila kumwaga shahawa huwa na uwezo wa kufanya mapenzi kwa muda mrefu zaidi pia kuishi miaka mingi kuliko wanaume ambao hawana uwezo wa kufika kileleni bila ya kumwaga shahawa kwani umwagaji wa shahawa sio tu humaliza nguvu nyingi sana ya mwili,kupoteza uwezo wa kuishi kwa muda mrefu,kupoteza uwezo wa kuona vizuri,kupoteza uwezo wa kuwa mbunifu na kufikiri,kumfanya mtu kuzeeka kabla ya muda wake,kumfanya mtu kupoteza nywele au kuwa na kipala kabla ya muda wake pia huambatana na uzakishaji wa sumu ambazo hudhuru mwili wakati wa utengenezaji wa shahawa hizo.
Kuthibitisha swala la wanaume wengi kufupisha umri wao wa kuishi kwa sababu ya kumwaga shahawa mara nyingi mtafiti DON JUAN MONK,alichukua minyoo kadhaa na akaigawa katika makundi 3.

Kundi la kwanza ni minyoo ambayo ililazimishwa kutengeneza mbegu za kiume bila kuzitumia,kundi la pili ni minyoo ambayo ilitengeza mbegu za kiume na kuzitumia na kundi la tatu ni minyoo ambao hawakutengeneza mbegu za kiume kabisa.

Katikati utafiti huo minyoo ambo walitengeneza mbegu za kiume na kuzitumia waliishi kwa siku nane,waliotengeneza mbegu za kiume tu walishi kwa siku 11,na ambao hawakutengeneza kabisa waliishi kuanzia siku 12 na kuendelea.

" Kukaa wiko sita bila ya kujamiina kabla ya pambano ndo siri kubwa ya muhamed ali" kocha wa bondia huyo alisikika akisema wakati akiojiwa kuhisu siri za ushindi za bondia huyo.
Pia hii ndo huwa sababu ya kufanya wachezaji wengi kuzuiwa kufanya mapenzi siku kadhaa kabla ya mechi.

ITAENDELEA........

No comments