Ni vigumu kuelezea moja kwa moja kujiamini maana yake nini? Lakini
mtazamo wa mwanadamu juu ya namna wenzake wanavyomchukulia inaweza kuwa
kutafsiri ya neno kujiamini. Ikiwa utajilinganisha na wengine na
hatimaye kuhisi aibu, ujue unakabiliwa na tatizo la kujiamini.
No comments