Mambo 12 Unahitaji Kujinenea Kila Siku Ili Uishi Maisha Bora

Kuna negatives nyingi Ulimwenguni. Tunahitaji kujilinda wenyewe kwa kujinenea maneno mazuri
Wengi wetu tunajilazimisha kuishi katika maisha ya ukamilifu ili
kujisikia vizuri. Niko hapa kukuambia kuwa Wewe ni mtu pekee unayeweza
kujielezea na kuwa mtu mwenye kustahili.
Kama unataka kujua jinsi ya kujijengea heshima yako. Anza kujinenea mwenyewe maneno mazuri kila siku.
1.”Iam good enough”
Hata kama huamini leo, lakini utakuwa mtu bora kwa kadri unavyoendelea
kujinenea maneo haya, utaanza kuamini ndani yako kwa kuwa yatasikika
ndani ya ubongo wako.
2.Ni wa thamani
Ndivyo ulivyo , una thamani kubwa katika maisha yako, una thamani
isiyoelezewa na mtu . kama watu wakikutendea baya . hilo sio tatizo
lako. watabaki ni watu wa ulimwenguni.
3.Ni mtu bora leo
Hii inaweza kuwa imeshikilia mlango wa mtu mwingine au kwa urahisi ni
kufahamu uwepo wao. kama unajitahidi kuwa mtu bora leo kuliko jana.
tayari wewe ni mshindi.
4.Usipoteze lengo.
Jisemee hivi. kila siku , rudia. unahitaji kukazania lengo lako.
kazania mipango yako, haijalishi ni kubwa au dogo kwa siku . weka akili
yako kwenye tuzo.
5.Jua litatoa mwanga tena, kama sio leo.
Utaweza kuwa na siku mbaya . lakini siku zingine utakuwa na siku nzuri
au mbaya zaidi kuliko siku zingine. lakini nakuahidi hio ni kwa muda
mfupi tu. yatapita, na jua litatoa mwanga tena.
6”.Iam strong”
Nguvu zipo ndani yako. unahitaji kuzitafuta na kuzivuta nje. utaweza kukabiliana na mambo ambayo ulifikiri hayawezekani.
7.”Siwezi kutawala wengine lakini naweza kuzitawala njia nzuri na kuwa na tabia njema kwa wengine”.
Kabiliana na hili.kuna watu wazuri na watu wabaya kila mahali. huwezi
kutawala tabia za watu ila unaweza kuitawala tabia yako, na hapo utaweza
kuishi nao kwa amani.
8”.Iam beautiful”
Wewe ni mzuri ndani na nje, Unalo kusudi na unayo maana ya maisha
katika kuishi na unahitaji kukumbatia huo uzuri. unahitaji kufahamu
uzuri wako kabla mwingine kufahamu hilo.
9.Ninao ufahamu wangu
Wengi tunaweza kutumia ufahamu zaidi . kwa siku za leo, lakini wewe
utakuwa mwenye ufahamu zaidi kila mahali, unapotembea hutajiumiza au
kuumizwa na mtu yeyote. Huu ni ufunguo wa kuelewa mazingira pamoja na
wale waliokuzunguka. itakusaidia kushughulikia mambo ya Ulimwengu huu.
10.Ninastahili
Unastahili kuwa na furaha, upendo na kupata ukweli kutoka kwa wale
uliochagua kuwa nao katika maisha yako. usitulie kwa kitu kidogo.
endelea kujinenea kila siku. Itakuwa ni kawaida yako.
11.Sijavunjika
Hujawahi, hutawahi kuvunjika kama akili yako inamaendeleo ya kutosha
ya ndani yako. utakuwa na misingi yako , na utafahamu kuwa wewe ni
nani.
12.Yaliopita ni kianzio changu cha hiki ninachokifanya na ninajijenga upya maisha yangu.
Yaliopita yamepita, hayatakurudisha nyuma, yamekuwa ni mafunzo katika
maisha yako. yaliopita hayakuelezei kitu. lakini yanakuonyesha ni kitu
gani unakitaka na ambacho hukitaki. Yaliopita yameokoa kusudi lako
katika safari yako. imekusaidia kuwa mtu ambaye ulitaka kuwa.
Tunahitaji kuachana na negatives katika fikra zetu . na pia tunahitaji kufahamu kuwa hatutakiwi kuwa watu wagumu wa kuelewa.
Haya ni maisha yako. ni mwandishi wa historia yako. weka maisha yako
vizuri, usiweke maisha yako mikononi mwa mtu mwingine. unastahili
kupata kilicho bora.
Kuwa bora kwa ajili yako , jitambue. jinenea mwenyewe mambo haya mazuri
kila siku na utagundua tofauti sehemu zote kiakili na kimwili.
Nakuhakikishia utaona tofauti.
kama umependa makala hii
No comments