Afya ni uhai utakapo jali afya yako basi unaongeza siku za uhaiwako hapa
duniani.Lishe ni muhimu kuzingatiwa na kufata miiko yake ili uwe na
afya bora ,kawaida baada ya mlo tumbo linakuwa limejaa mtu anajisikia
kulala au kafanya jambo lolote jingine ili aweze kujisikia ahuweni, kuna
baadhi ya vitu havishauriwi kufanywa baada ya mlo unaharibu afya yako
pasipo wewe kujua ila leo utajifunza ni mambo gani hayo
1.Kulala baada ya mlo mwanadamu anatakiwa kulala masaa 3 baada ya mlo
wake ,iwapo akalala kabla ya hayo masaa sio vizuri kiafya,chakula
kinatakiwa kisagwe tumboni mwili ukiwa unapilika pilika sio ukiwa
umepumzika kwa kulala,kulala baada ya mlo husababisha matatizo ya utumbo
na kukufanya kuongezeka uzito kwa haraka.
2.Kuoga baada ya mlo-kunasababisha kucheleweshwa kusagwa kwa chakula
,damu sehemu ya tumboni inakuwa inasafirishwa sehemu nyingine za mwili
haswa mguuni na mikononi pindi uogapo badala ya damu kutumika kwenye
mmeng’enyo wa chakula,unachotakiwa oga ndio ule sio kula ndio uwoge.
3.Usile matunda baada ya mlo-sababu mmeng’enyo (kusagwa) kwa matunda na
chakula ni tofauti unatakiwa kula matunda masaa 2 baada ya kula mlo au
lisaa limoja kabla ya mno ili vipishane kwenye mmeng’enyo
4:Kuvuta sigara baada ya mlo-unaharibu mfumo wa digestion kwa urahisi kupitia sumu ya sigara.
5.Kunywa chai baada ya mlo sio vizuri ,unakufanya kupoteza baadhi ya
madini na kunyonywa kwa urahisi kama madini ya chuma n.k kunywa chai
lisaa 1 baadya au kabla ya mlo ndio sahihi kwa afya yako.
6:Kufanya mzoezi baada ya mlo ni makosa subiri yapite masaa 1 au 2 ndio
ufanye mazoezi unasababisa utumbo kushindwa kusaga chakula vizuri.
7.Kupiga mswaki baada ya mlo
8.Kukaza mganda za suruali baada ya mlo
MAMBO NANE USIO SHAURIWA KUFANYA BAADA YA MLO
Reviewed by Unknown
on
August 17, 2018
Rating: 5
No comments