Nimevumilia Nimeshindwa, Mpenzi Wangu Amerudi Amelewa na Hana Nguo ya Ndani 'Boxer'
Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia
mpaka basi , Jana Mume Wangu karudi nyumbani saa nne usiku amelewa
chakari , akajilaza tu kitandani na suti yake , nikaamua nimvue ili
alale vizuri , cha kushangaza wadau nikakuta hana Nguo ya Ndani Bukta
ama Boxer ambayo alivaa asubuhi baada ya kumpigia pasi....
Sasa nimebaki najiuliza maswali mengi ilikuwaje akaivua na alienda tu
kazini na jioni aliniambia anapata moja mbili na marafiki zake?
Bado sijamuuliza nini kilitokea ila naombeni ushauri nifanyaje?
No comments