UNAYAJUA HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO????
Usioe kwa sababu umechoka kula kwa mama lishe.
Usioe kwa sababu umechoka kufua na kupika.
Usioe kwa sababu rafiki zako wote wameoa.
Usioe kwa sababu unataka kufungua kanisa sasa unatafuta mama mchungaji.
Usioe kwa sababu wazazi wanakulazimisha maana dada zako wote wameshaolewa.
Usioe kwa sababu mpenzi au mchumba amepata mimba yako.
Usioe kwa sababu unataka kumuonyesha msichana aliyekuacha kuwa bado upo juu.
Usioe kwa sababu unamhurumia msichana uliyenaye ukimuacha atachanganyikiwa.
Usioe kwa sababu wazazi wako wanampenda na kumkubali msichana huyo.

Mke sio housemaid, kama umechoka kufua ajiri mtu akufulie. Mke sio
mpishi kama umechoka kula kwa mama lishe jifunze kupika. Mke sio
mashindano maana hataishi na marafiki zako wala sio zawadi kwa wazazi
wako bali wewe ndiwe utakayeishi naye. Kuliko kumuoa msichana kwa
kumhurumia na si kumpenda itapelekea kuteseka moyoni maisha yenu yote ni
afadhali umwambie ukweli kungali mapema. Kuoa ili kujionyesha kuwa
ume-move on baada ya kuachwa ni kujikomoa mwenyewe.
Oa ukiwa na uhakika kuwa huyo ndiye chaguo lako pekee na upo tayari
kuishi naye katika hali zote, ndio mpango wa Mungu katika maisha yako na
ndiye unayempenda kwa moyo wako wote.
Source:Woman of Christ

No comments