UTAJUAJE UKO KWENYE MAHUSIANO YA KUDUMU? ISHARA HIZI 5 ZITAKUONYESHA.

Mahusiano yana rangi nyingi tofauti tofauti,  wengine huanza  vizuri na kuishia pabaya, na wengine  huanza vibaya mwanzo lakini huenda vizuri .kwa nini mahusiano mengine hufa wakati mengine hudumu kwa muda mrefu? Kuna siri gani  inayofanya mahusiano yadumu ?
Watu wale waliotumia miaka 40 wakichunguza ndoa, ,  ndoa nyingi zilizotokea  kutalikiana , haikuwa kwenye tofauti ya maoni lakini  ni kwenye uwezo wa kuwasiliana ndio  uliotofautisha maoni katika namna nzuri.pia watu wengi  walijaribu kubadilisha utu wa wenza wao  kwa jinsi walivyopenda kuliko kuwakubali jinsi walivyo.
Njia Za Utafiti.
Watafiti walinasema , Wanandoa ni nyumba kama walivyoita ni  sehemu ya  maabara ya mapenzi, mahali ambapo wataongea kila mmoja kuhusu kila kitu au kubishana .huko kwenye maabara ya mapenzi waligundua kuwa ndiko ambako kila mwanandoa  ataonyesha  kufanikiwa au kushindwa. Asilimia 91 ya  usahihi  walioona walishindwa kuelewana baada ya kusikiliza na kutazama  kwa  muda  waliona sio namna yao tu bali hata vitendo. Na imegundulika  ndoa nyingi kipindi cha  miaka 40, zinakuwa na matatizo.
Matokeo Ya Utafiti.
Kitu kinachoweza kufanya ndoa iwe ya kushangaza  na rahisi .ndoa yenye furaha watu wake hawako  nadhifu,sio matajiri ,au hawako kisaikolojia zaidi kuliko wengine. Lakini siku kwa siku za maisha yao  wanapigania nguvu  ya kuhifadhi mawazo mazuri na kukataa mawazo mabaya. Na hisia za kila mwanandoa alizonazo. Wana kitu kinachoitwa   ndoa yenye hisia za kiakili.
Hapa kuna ishara 5  zinazokuonyesha kuwa upo kwenye  mahusiano ya kudumu.
1.Mnaheshimiana Kila Mmoja.
Wote huongea kwa njia ya uzuri  na ya kirafiki. Unamweka mwenza wako kwa usawa bila ubaguzi,  wakati mnapoongea kila mmoja kwa namna ya kukubaliana ,  huishi kwa muda mrefu.
2.Mnalalamikiana, Lakini Hakuna Kukosoana.
Kulalamikiana kupo  lakini wenye aina ya ndoa hii  hawakosoani   kwenye tabia  za tofauti,  wanaelewana na kusahau yaliopita, , hupanga muda wao wa kazi kuliko kufikiria  kwamba wao ni wa kushindwa.
3.Hakuna Anaemdharau Mwenzake.
Mnaongea kila mmoja kwa njia ya mapenzi, kuitana majina,  kutizamana macho kwa uzuri,  na mawazo ya kuumiza  hayana nafasi  kwao.  Kwa kila mazungumzo. Unaelewa kuwa maneno usiopenda kuyasikia kutoka kwa mwenzako , pia hutasema hayo maneno kwa mwenza wako.
4.Hamuangushani Kwa Kila Kitu.
Huwa mnalenga katika kutafuta majawabu  katika kila tabia inayojitokeza, mnaelewa kuwa mabishano hayawezi kuwa ni vita  na hayawezi kupata nafasi ya kuharibu nguvu ya  kushinda mawazo mabaya. Wakati maoni  tofauti  yanapokuja, mnakumbushana kuwa wote ni timu  na kila mmoja yuko upande wa mwenzake.
5.Hakuna Anayempuuza Mwenzake.
Kila mtu anaelewa hisia za mwenzake, na kusikilizana kila mtu. Hamtumii  muda au  hali ya kujificha kwa ajili ya  kupuuza  kitu ambacho mwenza wako kasema,  hasa pale mnapoongea kitu. kusameheana, kushukuru , kupendana, kuthaminiana  na kusaidiana  ndio nguzo zao
Toa maoni yako k uhusu hii makala  .

No comments