ZIJUE SIFA 15 ZA MWANAUME ANAEPENDWA NA MWANAMKE


Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi  gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vitafute vigezo hivi 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume ili nawe uwe miongoni mwa wanaume wenye kupendwa. Jifunze kupitia al-amini Official Blog:-

1. Mcheshi

2. Kujiamini

3. Mwenye utashi

4. Anayetoa msaada unapohitajika

5. Anaetunza siri

6. Mwenye kujithamini

7. Mwenye malengo / makini
8. Mwenye mawazo mapana
9. AliyeMuwazi na mkweli
10. Anayeridhika     
11. Aliyeshupavu na jasiri

 12. Mwenyehuruma
13. Anaesamehe
14. Mwenye Hadhi na heshima
15. Hisia ya uadilifu.

No comments