MANENO KUNTU YA MANGE KIMAMBI KWA WADADA MNAOWAPOST WAPENZI WENU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
Ushauri wa bure to all the young unmarried ladies out there....... Do NOT post your man on social media... Its stupid and it will come back to haunt you.... Chances are you will break up and you gonna have to post another guy and another guy and another guy... Why unataka kuacha such a strong long trail of evidence of your whoreness??? 😂😂 seriously ndo maana siku hizi ndoa ngumu kupatikana nani akuoe wakati mji mzima wanajua listi yako ya wanaume? Hata kama uliposti wawili tu, wanaume wa kiTZ wanaroho ndogo hao wawili tu itokeee anawajua uwiiii basi hakuna ndoa hapo tena na vile watu wote wanajua flani alishamla mke wake mtarajiwa ndo kabisaaaa itazidi kumchanganya..
.
Pia ukija kum-meet future husband utahitaji kumdanganya ulipitiwa na wanaume wangapi, sasa unadanganya vipi na wewe ulikuwa unawaanika insta? Wanaume wa kiafrica lazma useme ulikuwa na wanaume wawili au mmoja tu kabla yake, namba ikizidi hapo niproblem 😂😂. Au uje kuskia jamaa kafa na ukimwi unaanzaje kumkataa na huku ulishamwanika kwenye mafacebook. Hata kama hakukuambukiza ila ile stigma tu ni tosha kukukosesha mwanaume unaemtaka wewe.put everything on social media except who you are fucking 🙈.
.
.
.
Nakwambia hivi search me kwenye mitandao utakuta picha zangu na mwanaume mmoja tu, tena mume wa ndoa,Baba Kenzo tu na wakati nipo kwenye social media toka enzi za Hi5 na myspace hata Baba Kenzo sikujua ka yuko Duniani😂 tena hapo naishi Dubai, nakula bata naposti picha karibia 500 kwasiku facebook 😂😂 ila sikuwahi kuposti mwanaume hata nimpende vipi,sana sana nilikuwaga naposti group photos, huwezi hata kuhisi kuna jamaa angu kwenye hiyo picha 😂😂. Yani unaweza sema my whole life nimetoka na baba kenzo tu. Isingekuwa kumzaa Bhoke hata baba kenzo ngeweza kumdanganya sijawahi kuwa na bwana 😂.. Hata watu wangemwambia vinginevyo ila no evidence na wazungu hawasikilizi maneno hadi evidence. .
Alafu how do you feel kuachana na mtu alafu unaanza kudelete picha zake hadharani?? ðŸ˜ðŸ˜Alafu after few months unaanza posti njemba lingine, watu wanabaki wanakuchora unavyogawa K ka pipi.Mwanaume aking'ang'ania umposti mwambie maishani mwako utaposti mume tu so kama anataka sana kupostiwa akuoe 💃

No comments