Usafi wa Mwanamke na Mwanaume..
Usafi ni jambo kuu katika maisha ya mwanadamu lakini leo nataka kuongelea usafi wa uke au ume, watu wengi hawajui kabisa kujisafisha na wanatoa harufu ndio unaweza ukaisikia akikupitia ama usiisikie mpaka pale atakapovua nguo ndio utakapogundua kwamba ananuka.
Naanza na wanawake, tumesoma sana kwamba mwanamke unapojisafisha ukeni hutakiwi kuuingiza kidole na kujisafisha kwamba ni vibaya, sawa nakubali sio vizuri lakini kuna njia nyingi sana za kujisaifsha ndani ya K**** ambayo ni lazima isafishwe ili kutoa utoko na ugando uliopo ndani, haifurahisi wewe kumaliza mzunguko na mtoto wa watu ukamuacha na maziwa ya mgando katika uume kisa umeambia kujisafisha kuingiza kidole ndani ni vibaya inahusu??????
Mwanamke lazima ujisafishe tena lazima ukifanya usafi uingize ndani hata kama ni mara tatu kwa mwezi pia sio mbaya kama huwezi kujisafisha kila siku unaogopa kuchubuka, kuna njia nyingi unaweza ukajisafisha na maji ya baridi huku ukiingiza kidole ndani, unaweza kusaifsha kwa maji kwa kutumia misuli ya K****** huku ukiyavuta ndani yale maji japo hii inahitaji sana utaalamu na pia hii huwa nawashauri sana wanawake na wanawake wengi sana wameifurahia hii ni kusafisha kutumia gozi na mafuta ya ndimu.
Ndio mafuta ya ndimu na gozi kwanza gozi ni laini likilowekwa kwenye mafuta na halikuchubui ukiwa unaingiza ukeni, na mafuta ya ndimu ni dawa, inasafisha na pia kukuponya na kukukinga na infestion zote za huko chini kama UTI na mengine kwahiyo hapa unapata vitu viwili kwa mara moja unauuwa vijidudu na kujitibu na pia kujisafisha, na mafuta ya ndimu hunukia vizuri na kukuacha kuwa fresh kabisa.
Nakuja kwa wanaume sasa na hii pia kama wewe ni mwanamke na umeolewa uilewe na kumchunguza mumeo na umsaidie na wanaume msiwe wabishi yani mwanaume mwengine ukimwambia kuhusu hili kama kasikia sijui ni nini mbishi wakati ni kwa manufaa yake..haswa kwa nyie wenye hulka ya umalaya msio weza kutulia na wake zenu tu.
Wanaume jamani huwa wananuka pia sehemu zao za siri haswa kwenye gololi zao yani utakuta mwanaume akivua nguo yake ya ndani hali ya hewa inabadilika sana au kwanini unadhani wanawake wanashindwa kuwapa blow job ni kwasababu ya harufu mnazo nuka jamani.
Kwenye hizo gololi kuna vinyweleo haswa nyie mnaojinyoa ama kwa mwanaume anayenyolewa na mkewe na labda wewe mwanamke hukujuwa, vile vinyweleo katika mihangaiko ya kila siku inazalisha jasho na lile jasho baadae huwa kama mafuta hivi meupe ndio yanayotoa harufu maana wanaume wengi hawachukui muda kujisafisha vizuri uumeni na wakinyoa wengi hawanyoi vizuri zile nywele za kwenye gololi ndio matokeo yake hayo.
Katika usafi pia mafuta ya ndimu huondoa kabisa ile shombo ya gololi na kukufanya unukie vizuri na bila shombo ukishaoga unajipaka sehemu ya uumeni na kwenye gololi kwenda chuni na mistari ya mapaja, utakuja kuniambia kama utaliona hilo tatizo tena.
Tatizo ni kwamba mambo mengi tunafichwa siku hizi hatuambiwi ukweli anyways mimi ndio huwaga tu namwaga mambo hadharani na nashukuru wengi wamenufaika nayo, sasa basi kama unataka na wewe kujisaifsha kwa kutumia haya mafuta ya ndimu nipigie huwa ninakuwaga nayo ni shs 10000 tu 0717 019320 na kama huwezi kuja pia nipigie utaletewa ulipo...USAFI NI MUHIMU sana jamani.
Mtu unashindwa hata kuzungushwa cha dharula mume yupo mjini anakupigia uende lunch japo akupe kimoja anashindwa maana lazima kwanza utafute bafu ujitawaze ndio akuzungushe inahusu, au mwanamke unataka kumpa mpenzi cha haraka hata kwenye gari kumlainisha tu kasheshe harufu kama mvua samaki inahusu...hahahahaha
No comments