"Baby Kama Huwezi Kuja Kunichukua Nakuja na Tax, Utalipa, Kama Huwezi Basi Mie Siwezi Panda Dala Dala'"

Mdada wa mjini Akichat na Boyfriend wake:

'Baby,kama huwezi kuja kunichukua nakuja na taxi utalipa,kama hutaki basi,mi siwezi kupanda Daladala Iam a DIVA''
''Okay Baby,gari haina mafuta na sina hela ya taxi,kama huwezi kupanda daladala basi,I am a DIVA''
Hivi kuwa Diva ndo hupandi Daladala??

Babako mwenyewe anafanya Shirika la Reli anagombania gari za Tandika deile,  Eti we mwanawe Diva, Diva my beuatiful legs! 

No comments