business ideas- mtaji 10m (nimecopy mahali)



1. Food Processing and Packaging: (The truth ni kwamba
agro product zetu hazipo kwenye mashelf ya supermarket
za dar sababu the packaging sucks. Nilinunua bottle ya
mbilimbi pickles, yaani product is taste lakini the package
ni aibu. Biashara yoyote inayohusu chakula una potential
ya kuikuza at least by 15% annual. Food ambazo unaweza
process includes Maharage, mahindi mabichi, samaki,
njegere, mchicha na nyingine nyingi. Sio lazima
kutengeneza pilipili everybody is doing it.
2. Maize and Rice Milling: Najua hapa wote mtasema oooh
Azam na Jogoo wameshika soko, guess what kuna at least
20% ya market share ambayo ni nobody territory.
Unachotakiwa ni kujitofautisha (Differentiation Strategy) na
Azam na Jogoo.
Here is how:
(a) Kiwango (Quality), hakuna atake nunua unga wako
kama ukikaa ndani unaoza,
(b) Urahisishaji (convenience) hapa sio kwenye price bali
kwenye packaging, funga katika ujazo wa 1/2KG, 1KG, 2KG,
5KG na 10KG. Zama za mizani zimekwisha.
(c) Bei shindani (competitive price), kumbuka zama za
kulopoka kwamba kilo 1,000 zimekwisha. Have all the
facts behind your numbers, jua gharama za uzalishaji
(Direct Cost & Indirect Cost), pricing is an art sio
kulopokwa tuu sababu everybody is selling 1,000 basi na
wewe 1,000.
3. Quick Car Wash,Tire Repair, Oil and Lubes : Kila mtu
anaona magari yanavyongezeka Tanzania, the good news
ni kwamba this is nothing in the next 10 years idadi will
double. Means kwamba opportunity and opportunity for
entrepreneur. Nimeita quick sababu quickness ndio
inakutofautisha na wachaga walio na sehemu hizi.
Kumbuka we are not trying to bring new business into the
market we’re either changing the process or improve the
service that’s it. So, hapa unaitaji air compressor ya mid
size, hydraulics car jack za ukweli sio vile vijeki mshenzi
ambavyo lazima utumie msuli. Remember quickness here
at least 10 minutes mtu hayupo.
4. Bakery, fast food restaurant and Pizza Place: Tanzania
sasa imeamka jamani sio miaka ya 1980s ambapo watu
walikuwa wananua maandazi ya kufunga na gazeti, watu
sasa wanataka good product, well packed and delicious.
Cha muhimu hapa ni location, ukienda kufungua hii venture
kigogo huko au kwetu kimanga am sorry no one will
recognize it.
Angalia location and target “middle income consumer”
wanaojifunga tai na michuchumio ( facebook/twitter
generation). Hapa pia kumbuka quickness is a key, watu
wanajaribu kuishinda foleni, so no one will give you
20mins umfungie maandazi.
5. Mobile entertainment: Hapa kama una ujuzi wa kuwaza
unaweza kutengeneza pesa mpaka basi. Over 20% ya
Watanzania ni watoto 12years and younger. Means kwa dar
tuu wapo watoto zaidi ya laki 6. Kila mdada anajaribu
biashara ya kuleta bounce house kwenye birthday za
watoto, that is so 1960s. Watoto wa siku hizi wapo 9 hours
ahead, fikiria outside the box. Kumbuka hi St. Majanga zote
zilizojaa dar ukiwa na good mobile entertainment idea you
will partner with all of them. This is pure money…
6. Mobile Fast Food Restaurant: Wenyewe mnaona jinsi
KFC au subway zinavyojaza au container pale morocco,
lakini hawa wote ni “brick and mortar” hawewezi kuwafata
wateja posta, coco beach. Wewe unafanya mapinduzi,
kumbuka business is always about revolution if you evolve
yatakupata ya Blackberry.
Kama una idea nyingine weka hapa, zama za kuamini
kwamba idea yako watu wataichukua is nonsense, sababu
wewe unaijua idea yako kushinda mtu mwingine. Kama
mimi all those 6 are my ideas. Let soko liwe jaji.

No comments