CHOMEZO MALKIA WA JELA SEHEMU YA TANO
SEHEMU YA SABA
.............................. ..
Wakati Huo huo Simu ya Amanda kutoka kwenye mkoba wake ikaweza kuita Amanda alipogeuka kuangalia chin alipokuwa ameutupia ule mkoba wake Mchumba wa TABU alimwah na kumnyakua kile kisu akakitupa kwa pemben kisha kumkamata Amanda mikono yote miwili na kuikutanisha kwa nyuma TABU alitumia nafas hyo kusogea na kuanza kumrushia Amanda mateke "TABU mwacheee" aliongea mchumba wake kwa hasira "Niachieee" aliongea AMANDA huku akijarbu kutaka kujitoa mikonon mwa mchumba wa TABU "Ujanja wote mfukon mtizame utaipata dawa yako " aliongea TABU na baada ya muda waliamua kumwingiza katika chumba ambacho kilitumika Kama stoo na kumfunga kamba huku amekaa kwenye kiti na mdomon walimwekea kitambaa ilikusud asiweze kupiga kelele "Dada nilikwambia mapema huku taka kusikia sasa utakula jeur yako humu hakuna wa kukuona utakufa taratbu kwa jeur yako"Aliongea mchumba wa TABU huku TABU akiwa amesimama kwa pemben Mchumba wake TABU alipo hakikosha Amanda hatoweza kutoka mule alifungua malango na kutoka nje Akabakia TABU "Hahahhaahhha kiko wapi sasa Nakuonea huruma Sana Kujifanya unayaweza mmh Pole hiv karbun utakwenda kuwa mait mtarajiwa hapo ndipo utaiona roho mbaya nlokuwa nayo Mshenz mkubwa wewe " Alipomaliza kusema maneno Yale Alimpiga Kofi AMANDA aliangusha machoz kutokana na maumivu ya kibao kile lakin hakuwa na namna yeyote ile TABU akaamua kutoka nje na kufunga mlango Dada yake Baada ya wiki moja kupita Mama LINDA aliamua kufunga safar na kwenda nyumban kwa mdogo wake AMANDA baada ya kufika Nyumban kwa mdogo wake na kufika kugonga Sana mlango aliamua kuuliza kwa jiran na kuambiwa hajaonekana wiki sasa Aliondoka akiwa na mawazo atakuwa wapi akaona ni bora aende kutoa ripot ile polisi kujitaj msaada wao , Siku mbili baadae AMANDA akiwa bado ndan ya nyumba ya TABU "TABU kwann unanitesa hiv Mimi kosa langu kujuanana na wewe " aliongea AMANDA huku kilio cha kwikwi kikimtoka "Hahahhahha AMANDA wewe siulikuwa ukitamba umesahau siyo utakula jeur yako mwaka huu Utajuta kunifaham mm ndiyo TABU na kila anaye niletea ujinga Tabu lazima azipate humu hutotoka na hakuna hata mmoja anae jua Kama wewe hupo humu ndan " aliongea TABU kwa kujigamba huku akiranda randa huku na huku "Lakin Mimi sikuwa na ubaya na wewe nilitaka kukutishia tu kumbuka tulipotoka TABU nihurumie unanitesa "
"Hahahahahhh Unateseka na lipi Kama chakula cha bureee unapata unaishi pazur na kuhusu swala la kukumbuka tuliko toka kwenye maisha yangu ilo halipo kurasa yake nisha ichana na kuitupa na huo ubaya wewe ndo umeuanzisha Mimi nitaumaliza "
Wakat wanaendelea kuongea aliingia mchumba wake GIDI "Wooow! Baby ! TABU alimsogelea na kumkumbatia huku akimpiga mabusu kumwuumiza roho AMANDA "Vipi Hajakusumbua ?
"Hapana ataanzia wapi kawa mdogo Kama nukta ubabe woote mfukoni "
GIDI alisogea taratabu mpk alipokuwa AMANDA na kumwinua kichwa huku amezikamata nywele za AMANDA kwa nguvu na kumpelekea maumivu yaliyomfanya apige kelele "Kimyaaaaa! " aliongea GIDI kwa sauti ya juu "Unaniumiza "aliongea AMANDA kwa saut ya kugugumia akionekana waz kuumia GIDI alimwachia nywele na kumshika mabegan "Muda wako wa kukaa humu unazid kuisha Pumzi zako zitakwenda kukata muda si mrefu Najua tutakapo kwenda kuuzika mwili wako nyuma ya nyumba yetu hakuna hata mmoja atakaye kwenda kujua hili " aliongea GIDI "Nisameheni Na ahid sinto rudia tena ...Nawaomba TABU nakuomba rafiki yangu " aliongea AMANDA kwa sauti iliyoambatana na kilio pamoja na kwikwi "Urafiki baina yangu Mimi na wewe sahau kabisa tena futa we ni wakufa tu unafikir nan atakuwa kila siku akupe chakula ,akupeleke uwah Hutulipi Mama Utakufa we jua hilo Wewe ni nguruwe tu umeingia kwenye chaka la simba " aliongea TABU "Baby chukua hii pesa kaniletee sumu za panya tano "aliongea GIDI huku akimpatia TABU pesa aliyoitoa mfukon kwake TABU aliipokea na kutoka chumban mule akielekea dukani "Kaka nionee huruma usinifanyie ivo Mimi n binadam mwenzio unataka kuniua Kama mnyama "aliongea AMANDA "Sasa sikia nisaidie nami nikusaidie ndicho kilichobaki kwa nyakat zako hiz za mwisho bila hivo utakwenda kufa kwa kujiua mwenyewe "
"Unamaana ipi ?! Aliongea AMANDA huku uso wake uliotapakaa machoz ukimtazama GIDI "Unatakiwa ufanya mapenz na Mimi mda huu kabla TABU hajarud ukikubali hilo nitakusaidia ukikaidi basi unastahili kifo "
"Kaka nisaidie nisife niko tayar "
Bila ya kupoteza Muda GIDI alimfungua kamba Amanda kutoka kwenye kiti na kuanza kumshika shika maeneo ya kiuno na kumlamba lamba shingo yake AMANDA akijitutumua na kuvuta nguvu kias na kumpiga GIDI kwa nguvu sehemu zake za siri GIDI alipata maumivu makali kwa kitendo kile alijiinamia chini huku akiwa amezishika nyeti zake Amanda alitumia upenyo huo kutoka mule ndan haraka Wakat anatoka anafungua geti na kutoka alijikuta akimpamia TABU ,TABU alianguka kwa pemben AMANDA alinyanyuka haraka na kuendelea kukimbia kuokoa uhai wake TABU alinyanyuka kwa hasira huku Dawa zile za panya alizokuwa amezifuata dukan zikiwa chini alifungua geti na kuingia ndan alimkuta Mchumba wake GIDI akiwa nje huku ameshikilia suruali yake akichechemea TABU alimtazama kwa hasira na kumsogelea "GIDI wewe ni msaliti Amanda amewezaje kukutoroka na wewe ni mwanaume " aliongea TABU kwa sauti ya ukal "TABU usinifokee unajua nini kimetokea au unaongea tu unajua nimefanya nn Sikia wewe ni mwanamke tu utabaki kuwa mwanamke "
"Mmmh GIDI hata wewe ni mwanamke wewe siyo mwanaume basi tu hayo mavaz yako huna lolote "
"Usinitukane TABU " aliongea GIDI kwa hasira huku akimsogelea TABU " Usinitishe ..Sikuogopi GIDI ungekuwa mwanaume hili lisingekishinda unawezaje kumwachia Amanda "
"TABU huwa sibishani na wanawake " aliongea GIDI na kumwahi kumkaba TABU shingoni akikusudia kumwuua Muda huo huo wakaingia polisi na kuwaweka chin ya ulinzi waliwa kamatwa na kuwafunga pingu walipotoka nje ya geti walimwona AMANDA akiwa amesimama na Dada yake Polis waliondoka nao na kuelekea kituon pamoja na ushahid wa sumu za panya alizoziacha TABU pale nje Baada ya siku ile kupita Amanda akiwa nyumban kwa Dada yake akitibiwa makovu na maumivu aliyoyapata kutokana na kipigo pamoja na kukaa kwa muda mrefu kwenye kiti huku akiwa amefungwa kamba "Mdogo wangu unaona ulivo jitafutia makubwa wangekuua "
"Dada nimekuomba msamaha hukutaka kunisamehe ningefanya nini "
"Mimi nimeshakusamehe nimeona nikubali tu matokeo miaka mitatu siyo mingi mwanangu LINDA ataachiwa huru na kurud nyumban "
"Nimekoma miye Dada ,sinto jiamulia mambo ovyo pasipo ushaur wa mtu "
"Mim ungeniomba ushaur ningejua nikushaur kipi wewe unakurupuka unachukua maamuz yako mkonon "
"Ndo nimekoma hata sirudii ila TABU na yule Bwana ake Mungu awalaan na huko polisi wanyee ndoo mpaka "
Miezi miwili Baadae katika maeneo ya gerezan LINDA akiwa anawasimamia wafungwa wenzie waliokuwa wakifanya usafi wa kufyeka fyeka nyasi Mara ghafla akajisikia kizungu zungu na kuanguka chini Rafiki yake PENDO alimkokota taratibu mpaka pemben kidogo ya jengo la Gereza na kuweza kumpumzisha Baada ya dakika kadhaa "LINDA Unajisikiaje ? Aliuliza PENDO
"Sijisikii vizur PENDO mmmmh! Najisikia kizungu zungu kwa mbali sijui nini "
PENDO alitoa macho na kutizama pembeni akashusha pumzi na kumwangalia tena LINDA "LINDAA ! Una mimba ;?!!
LINDA alistuka na kumtazama PENDO "Eeeeh! Mungu wangu mimii PENDO naomba usimwambie mtu jambo hili mmmmh Munguu wangu lakini ilikuwa siku moja tu "
"LINDA inaonesha waz wakat afande anakufanyia tukio lile ulikuwa katika siku zako za hatar ..."
"Nitafanyeje ?"
"Mmmh ! Kiukweli hata sijui mm mwenyewe nimechanganyikiwa "
"Nakuomba usimwambie mtu "
"Usijali rafiki yangu basi jikaze turude ukasimamie wasiweze kuhis chochote muda umebaki kidogo tuelekee kuchukua chakula
PENDO alimnyanyua na kuweza kusogea walipokuwa wenzao
No comments