NAWASHWA SEHEMU ZA SIRI, NA KUTOA MAJI MAJI YASIYOTOA HARUFU, NIFANYAJE?
Habari yako Vio, mimi nasumbuliwa na tatizo la kuwashwa sehemu za siri na ninavimba hii sehemu ya kukojolea na nashindwa kuelewa nifanye nini dada yangu,,kwani ninawashwa mpaka natoa majimaji na ute visivyokuwa na harufu na nilishaenda kwa dr akaniambia ni ugonjwa unaotibika akanipa dawa nikazitumia bikaa muda ila tatizo limejirudia tena na nakosa amani sijui nifanyaje mwenzako nisaidie
No comments