NIMETEMBEA KIMAPENZI NA DADA YANGU WA DAMU NA KUZAA MAPACHA..MUDA WA KUOA MIMI UMEFIKA DADA HATAKI NIOE..NINAOMBA USHAURI


Marafiki habari za kuhaingaikaKwetu tumezaliwa wawili tu mapacha , Mimi na Dada yangu, baba yetu alikua mkali na mkoloni sana hatukuruhusiwa kutoka nje kabisa labda shule tu na tulienda na Gari la nyumbaniTulikua tukiishi mkoani na ilikua ni mwishoni mwa miaka ya tisiniTukiwa form six, nadhan tulikua tumefunga shule tukiwa home, Dada yangu aliletewa mkanda Wa kikubwa na Rafiki yake baada ya Rafiki kuondoka tukawa tunauangalia sielewi ni nini kilitupata tukajikuta tumezini, mm kwangu ilikua ni Mara ya kwanza ila nadhan mwenzangu alikua tayari keshafanya huko nyumaIkawa kila siku tunafanya wazazi wakiondokaKuja kustuka haoni siku zake akamwambia mama naye akamwambia babaSijui niwaeleza lugha gani muweze kuelewa kilichotokeaIlikua ni mtiti akaambiwa aeleze ni nani aliempa mimba akawa anasingizia wanafunzi wenzie shuleni, wakifika shule anababaika anashindwa kutaja basi akafukuzwa shule hata mtihani Wa mwisho hakufanyaWakati hilo halijaisha biashara za Mzee zikaanza kuyumba vibaya vibaya na alikua na deni kubwa sana benki wakaja kuuza nyumba tunayokaa bado haikutoshaNyumba tuliyohamia ikapigwa mnada piaMzee akapata stroke, tukaanza kuhangaika nae kila hospital,Mtihani Wa mwisho ulipofika sikuweza kufanya kitu nilikua naangalia tu makaratasi maana tulitoka maisha ya juu ghafla tukaporomoka hadi chini ndani ya miezi 9-12Mzee akawa amefariki tukaenda kuzika kijijiniHakukua na chochote kilichobaki mjini si nyumba niniTumezika kama Leo wiki moja mbele Dada akajifungua mapacha Wa kiume kama sisi tulivyo mapachaBaada ya ndugu kutawanyika na miezi minne kupita tukiwa bado kijijni maana tulipanga tuishi huko huko mjini hatukua na chochote mama aliniita akaniambia niende mjini nikaangalie matokeo yangu ndipo tunaweza kupanga tufanye nnMatokeo yalikua mabayaUsiku mmoja mama na babu wakaniita babu akaniambia chukua hawa ngombe ukauze wote utuachiewatano tuHii ndio mali pekee Mzee wako alioacha, walikua ngombe 200Nikapewa baba zangu wadogo tukaenda mnadani tukauza nikapata pesa nyingi mnoNikaja dar kutafuta maisha na kiasi hicho cha pesaNikawa nanunua ngombe mkoani naleta dar hadi mtaji ukaongezeka mara tatuNikafungua biashara zingine na nikanunua kiwanja boko na nikajengaNikarudi kijijini nikamchukua Dada yangu na watoto had I mkoani wakiwa na miaka mitano nikampangia nyumba na kumfungulia biashara lengo ni watoto waanze la kwanza hivyo walitakiwa maandalizi ya nurseryMama tulimwacha kijijini alikataa kabisa kuja mjiniSiku moja tuliagiza pombe walau tusherehekee mafanikio maana hatukumini kama tungefika hapoBaada ya kunywa sana nikaona nikalale akanifuata chumbani na kuanza romance nikamzuia nikamwambia hatupaswi kurudia kosa hili, tushukuru huenda ni mpango Wa mungu Mzee kufariki kabla hajajua mm ndio nilikupa mimbaNa bado hatujui siku mama akijua itakuajeAkaniambia yeye hataki mwanaume mwingine zadi yangu na kwamba ananipenda mm tuNakuja kustuka hivi na boxer na vest ameshavitoa huku akiendelea na zoezi moyo wangu ulishakataa ila mwili ukawa dhaif tukawa tumeziniTangu hapo huwa anakuja dar tunafanya nashindwa kuresist ile pressureNikapata msichana mmoja dar alipokuja dar akatukuta nae kwangu alifanya fujo na kumpiga vibaya yule binti hadi majirani wakaniambia kumbe ulishaoa husemi, mi nashindwa kuwajibuNikapata demu mwingine Dada yangu alipokuja akakagua simu akaona SMS za mapenzi akampigia akamtukana sana akamwambia yule demu eti nimeoa na nna watoto wawili demu akakimbia kimojaNimepata Dada mmoja Wa benki tunapendana sana na tumepanga kuishi pamoja lakini kikwazo ni Dada yanguAkigundua tu ni balaaSijui nimwambie huyu banker in advance kuhusu ili tatizo?Marafiki naombeni ushauriMaana mama mwenyewe anataka nioe nitulieDada anasema nisijidanganye kuoa ni kazi bureNikimwambia tafuta mtu wako na wewe uolewe hanielewiNifanye nini?Naogopa laana

No comments