1.Anakukonyeza kwa kope. 2. Anaachama midomo. 3. Anagusa ama kuvuruga nywele zake. 4. Mikono anaweka kiunoni akiwa amesimama kwa kutanua miguu yake. 5. Anagusa uso wake mara kadhaa, huku akikutazama. 6. Atakukagua mwili kwa macho yake huku akitamani umuangalie...
NJIA ZA KUJUA KUWA MWANAUME AMEKUZIMIA
Reviewed by Mdogo Wako
on
October 19, 2018
Rating: 5
No comments