Ongeza Nguvu za Kiume kwa Viagra za Kiasili





Kujiamini kwa mwanaume lijali ni pale anapomtosheleza mwenzi au mpenzi wake wakati wa kufanya mapenzi. Na furaha ya mwanamke ni pale anapofikishwa kwenye utoshelevu anaoutarajia kutoka kwa mwanaume au mwenzi wake wakati wa kufanya mapenzi. Kutokana na uhitaji na shauku ya kutaka kuwafikisha wapenzi wao kwenye utoshelevu imewalazimu baadhi ya wanaume kutumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume ikiwemo Viagra. Madawa hayo licha ya kuwa na athari kiafya kwa wanadamu hususan wanaume wanayoyatumia lakini pia imekuwa ni chanzo cha vifo vya baadhi ya wanaume wanaotumia madawa hayo hasa pasipo kufuata ushauri wa kidaktari. Si aghalabu kusikia matukio ya vifo vya wanaume kwenye nyumba za kulala wageni na watu wengi wamekuwa wakijiuliza nini tatizo au chanzo cha vifo hivyo. Wengine wamekuwa wakihisi pengine chanzo cha vifo hivyo ni kuzidiwa na dozi za mapenzi wakati wa kungonoka kutoka kwa wapenzi wao.


Watu wengi hawajui kwamba vyakula vyetu vya asili ni Viagra tosha kabisa ambavyo vikitumiwa katika mchanganyiko fulani wanaume wanapata msisimko wa kufanya mapenzi kwa maneno rahisi vyakula hivi vikitumiwa kwa kufuatisha mchanganyiko fulani ni Viagra tosha tena ya asili na iliyo salama kabisa kwa asilimia 100. Hapa nitakwenda kueleza baadhi ya vyakula au michanganyiko ya vyakula ambayo mwanaume akiitumia jongoo litapanda mtungi sawasawa na kuwafanya wenzi wao kuwa na furaha kwa kufikishwa wanapotaka wafikishwe.



Moja: Mwanamke mtengenezee mpenzi wako ‘Banana Milkshake’ mida ya jioni ili usiku akupandishe kileleni. Aidha jenga tabia ya kumtengenezea mwanaume wako milkshake hii kila siku. Namna ya kutengeneza: Osha matunda ya strawberries kama 5-10, ondoa vikonyo vyake na kata katikati vipande viwili kila tunda. Menya ndizi mbivu 2-3 na kata kata vipande. Weka maziwa glasi moja kwenye blender na pia tia strawaberries na ndizi. Weka asali vijiko 2 vikubwa badala ya sukari. Funika blenda na tengeneza milkshake yako . Weka milkshake kwenye glasi na mpe mwenzi wako anywe taratibu. Hii licha ya kuongeza msisimko wa kufanya tendo la ndoa (libido) pia ni mahususi kwa kuzalisha homoni za mapenzi (sex hormone production).


Pili: Changanya asali na unga wa iliki na na unga wa pilipili kiasi. Mwanaume tumia mchanganyiko huo na unaweza kuboresha zaidi kwa kula pamoja na yai moja la kuku wa kienyeji lililochemshwa kiasi (half boiled) kila siku hadi mambo yawe sawasawa.


Nne: mwanaume tumia maziwa yaliyotiwa unga kiasi wa pilipili na lozi (almond) au maziwa yaliyotiwa asali na samli (ghee).


Tano: Mwanaume kula nanasi lililowekewa asali na unga kidogo wa pilipili au chill. Kadhalika tumia pine nuts au mbegu za maboga (pumpkin seeds) ambazo huongeza madini ya zinki mwilini. Madini hayo ni muhimu kwa uzalishaji wa shahawa.



Sita: Kama hujisikii hisia za kufanya mapenzi hebu chemsha na kula mboga iitwayo Asparagus kwa siku tatu tu utaona hisia kali za kufanya mapenzi iwe ni kwa mwanume au mwanamke.

No comments