TABIA Gani "Mbaya" imekushinda Kuacha Baada ya Kuingia Kwenye Ndoa?
Kuna tabia ambazo baadhi zimekuwa "addictive" kwetu, bahati mbaya nyingi zinabaki kuwa siri sirini , hatuwezi hata kusimulia wandani/wapenzi wetu (moyo wa mtu ni kichaka).
Tabia kama;
»Kusagana...mke wako aweza kuwa anasagwa balaa na wewe hujui.
»Kuf**wa... mume wako aweza kuwa amekubuhu huo uchafu nawe huna habari masikini ya Mungu.
»Kupiga punyeto/kujichua... kuna wanaume na wanawake wengi tu walikuwa na tabia kama hizi kabla ya kuoa/kuolewa, wameingia nazo ndoani na hawana hata plan ya kuacha, wenzi wao hata hawajui
.
.
.
Zipo zingine nyingi tu. He, ni tabia gani ulikuwa nayo kabla ya kuingia ndoani/mahusiano lakini imekushinda kuacha?
By Eli79

No comments