UNAAMBIWA KUOA MWANAMKE ALIYEKULIA MAISHA DUNI, NI KUJICHIMBIA KABURI NA KUKARIBISHA UMASKINI. SOMA HAPA
Heshima kwenu wadau..
Kuna jamaa amezua hoja nzito kwamba kamwe hawezi kuoa mwanamke anaetoka familia ya kimaskini maana wengi wao hawana shukrani maishani.. anakwambia angalau watoto wa kishua japokuwa wavivu kazi za ndani ndogo ndogo but wanajua kupenda na hata cheating ni ngumu sana.
But mwanamke anaetoka familia yenye dhiki wengi wao vigeu geu mwepesi sana kubadilika badilika.. na ametoa mifano hai mingi tu ya ndoa za tunaowafahamu..
Wadau hii mnaonaje? je kuna ukweli wowote hapo
No comments