Ushauri: Kila Nikikutana naye Nashindwa Kufanya nae Mapenzi
Wadau za usiku huu,
Kuna kitu huwa kinaniumiza sana kichwani mwangu kwani kuna mdada mmoja mzuri ameumbika na ana sifa zote nzuri
za kike. Tatizo linakuja kila nikikutana nae jogoo ananywea kabisa mpaka kero.
Hapa naandika haya kalala pembeni baada ya kumforce sana jogoo lakini wapi. Sijui tatizo ni nini kwa sababu kwingine jogoo fresh anapiga kazi kama kawa tatizo nikimuita yeye tu lazima jamaa agome kufanya kazi, hii leo ni mara ya nne.
Naombeni ushauri wadau nifanyeje?
No comments