Wadada Jamani Yapendeni Maziwa Yenu..Chukua Elimu Kidogo
Nimesikia watu wengi wakiongelea Cream za kufanya maziwa ya wanawake kusimama. Kuna cream ambazo ni chachesana ambazo hazima madhara. Nilikuwa najiuliza, kwa kipindi fulani nilikwisha wahikuwaona waigizaji wakiwa na maziwa ambayo yamelala kiasi kwa chini, kisha mda mfupi unajiuliza nini kimetokea mbona kwa muda mfupi yameacha kulala kwa chini. Wadada, tumieni cream lakini kuweni makini na cream mnazo nunua/mtakazo nunua.Pia njia nyingine, Acha kuvaa sidiria mda wote sababu kuvaa sidiria mda mwingi yanaweza kuyafanya maziwa yalale chini. Na pindi ukiwa unaenda kwa matembezi unatakiwa kuvaa sidiria yenye material ya silicon au sidiria zile zenye kuyanyanyua maziwa kwa juu. Mnatakiwa kujua pia kulala kwa maziwa kunasababishwa na Genetics (kurithi). Na sii labda maziwa yakishikwa na mwanaume au kumnyonyesha mtoto ndio yanayosababisha maziwa kulala. Mishipa kuzunguka maziwa inaweza sababisha maziwa kulala pia.Pindi ukienda kulala, usilalie maziwa yako.Jitengenezee mazoea ya kulala kwa upande au kulala kwa mgongo. Kulalia maziwa inasababisha maziwa kulala pia.Pia kuweni makini na mikono inayo minya minya maziwa yenu. Wanaume wengine wanayaminya kama wanataka kuyanyonga.
No comments