WANAUME:USIDANGANYWE KUHUSU BIKRA KWA MWANAMKE



Kumekuwepo na baadhi ya wanaume ambao wanapotafuta wenza wa maisha basi,,wangependa kupata mwanamke bikra..Nadhani bado wanaume wengi wanajua machache kuhusu bikra.Basi wasome hapa

Kuna kiungo kama musuli ambacho chaweza kuwa kigumu,upande wa nje wa uke wa mwanamke.Kiungo hichi ambacho ni kizinda ndicho huitwa Bikra.
Nafasi iliyoko kwenye kizinda cha msichana bikra ni kiasi cha upana wa inchi moja.

MUHIMU KUTAMBUA
50% ya mabinti husikia maumivu kidogo wakati bikra inapotolewa.
20% hawapati maumivu yoyote.
30% husikia maumivu makali
Wakati mwingine binti anaweza kupoteza bikra yake kutokana na shughuli za kawaida,,hivyo usidhani imetoka kwa mapenzi tu.

No comments