NIKIFANYA MAPENZI NACHUBUKA NA KUTOKWA NA DAMU NYINGI KAMA HEDHI


Mimi ni mwanamke wa miaka 32. Ninatatizo ambalo nimeshindwa kupata tiba yake hata bada ya kwenda kumuona Daktari. Mimi na mpenzi wangu tumekuwa pamoja kwa muda wa miaka miwili.

Mwanzo tulikuwa tukitumia Condom tunapofanya mapenzi lakini mimi nilikuwa napatwa na maumivu makali sana na wakati mwingine kutokwa na damu kama vile niko kwenye siku zangu za Hedhi.

Baada ya muda nikaja kugundua kuwa nilikuwa nachanika kidogo kidogo ukeni, basi tukakubaliana kuacha kutumia Condoms. Pamoja na kuacha kutumia Condom bado hali hiyo iliendelea kila ninapofanya mapenzi na Boyfriend wangu.

Nilipokwenda kwa Daktari, nilishauriwa niwe nabana sehemu zangu za siri kama vile navuta pumzi, nikajaribu kufuata ushauri huo lakini wapi! Sasa nimeanza kupatwa na mawazo je kuchanika huku chini kunaweza kunisababishia Cancer, labda sitoweza kushika mimba na kuendelea kuchanika zaidi na zaidi.

Naomba ushauri wenu.



USHAURI 
1.Inawezekana  mwanamume wako hauju kula, anatumia mwili wako kupiga punyeto(MASTABATORY SEX)!!! Jaribu kuongea naye ajifunze kula  kutokana na mahitaji ya mwili wako! 

2. Yawezekana hupati maandalizi ya kutosha na kusababisha uke wako kuwa mkavu, kiasi kwamba mume wako au mpenzi wako huyo anapofanya mapenzi na wewe anatumia nguvu nyingi kuingiza uume na kusabisha michubuko, na damu kutoka, 

3.Jaribu kuhakikisha kuwa unakuwa katika mudi ya kufanya ngono ili uke uwe na maji maji ya kutosha ikishindakana jaribu kutumumia vilainishi ya uke then jaribu uone kama utatokwa damu 

4.Pia yawezekana cervix yako iko jirani kiasi kwamba mumeo anapofanya mapenzi na wewe anaigusa na kusababisha damu kuvuja na machubuko kwenye cervix.

 Nenda kwa daktari bingwa wa magojwa ya wanawake na sio alie kushauri uwe unabana uke huyo si dhani kama ana elimu husika katika suala hilo.

No comments