Fuata Vigezo Hivi kwa Kutoa Pesa Kwa Mwanamke Ambaye Siyo Dada yako Wala Mama yako




Huu ni ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu ili kupunguza vilio vya kutoa pesa kwa mwanamke ambaye una mpango wa kuwekeza kwenye mwili wake.

1). Lazima awe mpenzi wako na asiwe mpenzi wa maneno yaani lazima uwe Na ukaribu naye wa kutosha.

Haya mambo ya tutaonana tu_ mara samahani naomba nitumie 10,000 au 20,000 unatoa utachukia wanawake bila sababu kwani ukiwaendekeza utatoa hizo wakati dada zako hata hela za chupi hawana, WAAMBIE SINA.

2). Mwanamke wa kumpa PESA ni yule ambaye ukimtaka unampata na wakati mwingine anakuwa na hamu ya kuwa na wewe na siyo yule aliyekupa kwa bahati mbaya hajarudi tena halafu unasumbuka kutuma hela itafika wakati utamtukana, MWAMBIE SINA USIUMIZE KICHWA.

3). Umemtokea mtoto wa kike ameonyesha uelekeo lakini ubize haumuishi, MUACHE ABAKI KUWA rafiki ila PESA usitoe sababu mpo kama 50 hivi wote ,anacheza na akili zenu.

4). Demu anayetakiwa kupewa PESA ni yule ambaye siku zote yupo hapo kwa ajili yako yaani hata kama ana wengine usijali na usitake kujua, ila ukimtaka unampata na wakati mwingine anakutafuta wewe BABY I MISS YOU,huyo we mpe pesa hata kama hajaomba.

5. Mwanamke ambaye hawezi kukwambia "bebi" nina hamu na wewe na akauliza lini upo na muda nije na akaja ,MPOTEZEE HAKUFAI HUYO.


6. Mwanamke ambaye ukimuonyesha kuwa unamuhitaji Kwa 'sex' sababu haziishi MFANYE AWE rafiki SABABU HAKUFAI HUYO yupo na wewe kwa sababu ya *PESA* na si kingine.

No comments