Justin Bieber ahamisha majeshi, amvisha pete Hailey Baldwin
Taarifa zinazoripotiwa kuwa staa Justin Bieber amvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa sasa Hailey Baldwin siku ya Jumamosi July 7,2018 katika visiwa vya Bahamas na tukio hilo lilihudhuriwa na watu wachache.
Penzi kati ya wawili hao limeonekana kuwa imara ingawa wamekuwa wakigombana na kuachana tokea waanzishe penzi hilo 2015 mpaka 2018, Justin Bieber na Hailey Baldwin wamekuwa wakificha kuhusiana uhusiano wa kimapenzi uliopo kati yao.
Tetesi zinadai kuwa Justin Bieber ameamua kufanya hivyo baada ya kuwa na mwanadada kwa muda mrefu lakini mahusiano haya ni baada ya kuachana rasmi na Selena Gomez.

No comments