Mume wa kukuoa anatakiwa akupite umri gani?
jaman wote tunamahusiano wengi mtaajaliwa tu jaman…sasa tunajua mapenzi
yanavyoumiza unampenda mtu ye hakupendi…anaekupenda we nae humtaki mambo
yanakua kasheshe,na ninavyojua sisi wanawake hua tunajifunza kupenda
kutokana na jinsi mwanaume anavyokujali..nimepata mtu kanizid miaka kumi
na mbili na ananijali haswaaa yuko kwa ajili ya kuoa…kwa namna ingine
nlidae na niliopishana nao 5 to 7 Ndio vimeooooo Mungu samehe…je kuna
watu humu waliolewa na watu ambao walikuja kuwapenda waume zao badae na
ndani ya ndoa?…maana umri nao waenda..SIJUI NIMEELEWEKA? Jmani kuzini
zini inachoshaaaaa
MAJIBU
hahaha nagy mie sijui kama nimekuelewa fresh. kwanza kuna issue ya tofauti ya umri halafu kuna issue ya kumpenda jamaa. kwamba haujampenda ila unategemea jinsi mnavyoendelea utampenda? mama ushauri nina maoni haya
1. tofauti hiyo ya umri sio big deal, ila inategemea wewe una umri gani sasa hivi. kwa maana kwamba kuna umri ambao unategemea mwanaume awe ameoa. sasa kama amepita ule umri wa kuoa na hajawahi kuoa ni vyema ukaijua historia yake vizuri. ujue ni nini kilikua kinamzuia asioe. nimekutana na wakaka wako kwenye 40’s lakini wanachumbia na kuacha.so unaweza kudhani sababu ya umri wake atakuwa yuko serious na asiwe serious. mchunguze vizuri
2. umri sio tatizo kama majukumu ya kitandani anayamudu vizuri. kinachofanya tuolewe ni pamoja na duduz sasa sio uolewe na mtu umri umeenda halafu kuridhishana hamna. siku hizi wanaume wanachoka mapema sana sijui vyakula au nini! so hilo la muhimu pia kuangalia.
3. kuhusu kumpenda hapo mtihani! wahindi wanaamini kwamba ukiolewa na mtu usiempenda baada ya muda utamzoea na kumpenda na hivyo kudumu nae zaidi ya yule uliempenda kabla ya ndoa. ndio sababu wanafanyaga arranged marriages.ila mi naona ili muamko uwepo inabidi kuwe na kitu umevutiwa nacho kwake. ili na ww usikie raha au vp? sorry maelezo mareefu
yan umenielewa haswaaa…maana kuna mwaka nikampa kibuti nikawa naona hatutawezana na kimchepuko kilinifanya nkamtosa jamaa…mchepuko si akaoa bwaaana? msitake kuelewa machungu yake alafu ndio alikua ananishawishi balaa nimteme..duuh nikawa mdogo na sikua tayari kumrudia jamaa mtu mzima…mtu akanishauri nisali,,,,nkasali na anae rudi n yeye jaman…juzi nkakutana na mama ake kanifurahia si mchezo while nilijua atakua ananichukia kumtosa mwanae
MAJIBU TENA
Binafsi mi naona ni bora mwanaume aliyekuzidi umri kuliko hawa mliolingana au mmepishana miaka 2,3,4,5 huwa ni wasumbufu sana, nitoke njee ya mada kidogo kuna siku wakati naelekea kazini nilipishana na mbaba mweye umri wa miaka 45 yeye alikuwa ana endesha gari ikabidi asimamishe ikabidi nipande kwa kujiamini ingawa sio tabia angu ya kupanda magari ya watu ovyo tukabadilishana namba ya simu siku iliyofuata akanipigia simu nikapanda story zikanoga, kila siku alikuwa ananisubilia jioni tunakaa sehemu tunakula kunywa kupiga story wiki kama 2 mfululizo nikamzoea ki ukweli huyu baba nilitokea kumpenda sana tena sana mpka leo ninavyoandika hapa… mashetani yangu tu nikaanza kumwambia simtaki mara namtaka kwa sababu yeye tayari alikuwa ni mume wa mtu ingawa sikuweza kumfwatilia ili nijue ukweli mana kila akipita na gari huwa anakuwaga peke yake.. nimalizie ni bora mpishane umri mana kuna raha yake anakuwa ameshamaliza ujana

No comments