Niko Out na Mrembo Mmoja Kavaa Vikuku Miguu Yote Miwili, Eti Inamaanisha Nini?
Wadau hapa niko out na mrembo mmoja tulikutana facebook miezi miwili hivi imepita leo ndio tumeonana live tupo chobingo moja hivi siri yangu tunapata moja moja, kaja amenivalia kimini na chini amevaa vikuku ama vicheni miguu yote miwili ...eti huwa zina ashiria au kumanisha nini? Huku mtaani midume huwa tuna danganyana sana juu ya hii kitu Wengine husema ukimuona anazo pande zote huyo antoa kotekote, Ebu tupeni ukweli wana dada au ni urembo tu kama heleni....?
No comments