njia 8 Za Kugundua Iwapo Mwanamke Amepandwa Nyege Akiwa Kando Yako ..


Je unaweza kutambua iwapo mwanamke amepandwa na nyege akiwa kando yako? Well, kama unazifahamu ishara bayana basi inakuwa rahisi kwako.

Ok, tuanze hivi. Hebu chukulia umeketi na marafiki zako wa kiume na wa kike halafu ghafla rafiki yako mmoja akaanza kuonyesha ishara fioa ambazo wewe pekee ndio umezitambua kuwa amepandwa na nyege na anataka ufanye makamuzi ya haraka haraka. Hiki ni kipawa kilioje?
Sasa waonaje kipawa hiki cha kutambua mwanamke kama amepandwa na nyege bila hata kumgusa wala kumchungulia mwili wake wa ndani kiwe unakimiliki? Relax, Nesi Mapenzi iko hapa. Tutakupa ishara zote tuzijuazo hapo chini.

Zama nasi...

#1 Anakuangalia kana kwamba wewe ni nyama iliyotandazwa vyema
Kwa lugha nyingine tunaweza kuita ‘macho ya mahabat’ ama ‘macho ya mlalano’. Kuna mtizamo wa macho ambao mwanamke atakuangalia tofauti na vile ambavyo unamtambua kukuangalia. Hii ni ishara ya kukuambia kuwa amekupa nafasi ya wewe uchukue hatua ya kwanza kwake.

Utamwona kuwa mara kwa mara anataka umwangalie machoni mwake na pindi utakapomwangalia atakuangalia halafu atatabasamu na kuangalia chini. Halafu atakuangalia tena huku akiuuma mdomo wake wa chini. Hapa usiwe mjinga. Amka, anza kumuapproach ili uongee na yeye.

#2 Anakusuka kuliko kikawaida
Ok, katika hali kama hii tutaichukulia kuwa wewe na huyu rafiki yako mumewekeana mipaka flani kati yenu. Kwa kawaida munafanya mambo ya kawaida ambayo marafiki hufanya. Kwa mfano mnakutana sehemu flani mnaspend muda pamoja, mnaongea normal. Lakini siku moja, bila sababu zozote unamwona mwanamke kama huyu anaanza kukusuka kuliko vile ambavyo umezoea. Mfano iwapo mmezoea kuwa mkiwa mmeketi pamoja mnaweka nafasi kati yenu, siku hii unaona kuwa amehakikisha kuwa amekubana kabisa huku akikwambia mambo ambayo ni tofauti na vile ulikuwa ukitarajia.

Tashwishi yako itahakikishwa zaidi pale ambapo atakutenganisha na wale waume wengine walioko na wewe. Hii ni obvious kuwa anafanya hivyo ili kuteka atenshen yako yote na amakinike na wewe pekeake. Anakusuka. Ukiona kuwa anajaribu kuteka atenshen yako kama hivi, usizubae. Pia wewe makinika na yeye na uende sambamba ili usipoteze hata dakika moja.

#3 Anakuwa huru kimguso

Ishara nyingine ya kuonyesha kuwa mwanamke kama huyu amejawa na nyege nyingi ni pale ambapo anaipeleka mikono yake sehemu ambazo kikawaida hazijazoeleka. Hapa sasa inaweza kuleta ule mchanganyiko wa kubainisha iwapo ni kusudi ama ni kwa bahati mbaya. Lakini kama tujuavyo ni kuwa katika kamusi ya wanaume hakuna kitu kama ‘miguso ya kibahati mbaya’. Lakini tambua kuwa hii haimaanishi kuwa mwanamke atashika pumbu zako ghafla ili kuonyesha amepandwa na nyege, la. Miguso yake inaweza kuwa fioa huku akitoa ishara kwako pia ufanye vile anavyofanya yeye kama hutomaindi.

Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kukugusa kuonyesha kuwa amepandwa na nyege nazo ni; kuupeleka uso wake karibu yako, kukukumbatia, kuifungata mikono yake kiunoni mwako ama mkononi, kuipapasa miguu yako na yake, ama wakati mwingine kukunong’onezea karibu na sikioni mwako.

#4 Mazungumzo yenu yanakuwa ya kiundani

Kama unamwona kuwa anaanza kuuliza maswali mengi ya kibinafsi ama anatoa maoni ya kiushawishi katikati ya mazungumzo yenu basi ni ishara ya kuwa amepandwa na nyege. Kutumia maneno ya kutatiza ni njia  ya moja kwa moja kuonyesha kuwa mwanamke kama huyu anatoa ishara kuwa ana hamu ya kitu flani kiasi cha kuwa anasema moja kwa moja.

Anaweza kufanya hivi kwa kueleza mahusiano yake ya awali, staili nzuri kwake za kufanya mapenzi, ama kukuuliza mahusiano yako na mwanamke huwa yakoje, kiufupi atajaribu kukuambia mambo ambayo kwa kawaida mwanamke hawezi kukufungukia. Njia nzuri ya kukabiliana na hili ni kuwa usipanik wala usiwe na pupa. Nenda na spidi yake polepole ili mwisho wa siku unahakikisha kuwa unampandisha mzuka zaidi na zaidi.

#5 Anakusifia vile ulivyopendeza
Katika hali ya kawaida jambo hili la kumsifia mtu huwa tunachukulia ni jambo la kawaida kabisa kwa mwanamke yeyote kufanya. Lakini inaweza kufikia kiwango flani ambacho kinaleta msisimko wa kutaja na kugusia maswala ya moja kwa moja ambayo ni ya kibinafsi. Mambo ambayo mara nyingi yakitamkwa huwa ndani ya akili ya mwanaume huwa na maana tofauti kabisa.

Ok, hebu tuchukulie hivi. Umezoa mwanamke flani kuwa anapenda kusifia mavazi yako, tabasamu lako nk. Lakini pindi ambapo ataanza kukusifia kwa kutaja jinsi ulivyo na mikono iliyoumbika, kifua kilichopanuka, ama jinsi mabega yako yalivyo, ama kwa kukusifia jinsi suruali uliyoivaa imebana vizuri makalio yako ama wakati mwengine anagusia umweleze sehemu ambayo unafanya mazoezi ni ishara tosha kuonyesha kuwa huyu mwanamke ana jambo ambalo linataka kushughulikiwa mara moja. Upo!?

#6 Anakuonyesha ‘mali’ zake

Tushaona mambo kama haya awali. Mwanamke kama huyu anazifungua nywele zake ili zining’inie karibu na shingo yake wakati mnapoongea, anavalia tsheti ya kola ya V pamoja na sidiria ya ‘push up’, kuvalia skin tyt, ama kujiandaa hata kama mnakutana sehemu ya kawaida.

Mwanamke kwa kawaida hufanya haya yote akiwa na lengo moja kuu...kuteka atenshen yake yote kwako. Ishara ya kuwa ana matamanio ambayo anayahitaji kutoka kwako. Usizubae.

#7 Hatulii mbele ya uwepo wako

Wanawake huwa na mbinu tofauti tofauti ambazo hufanyika wakati wanaposisimuliwa ama wanapokuwa na nyege. Hii ni kuanzia kuwa na mpigo wa haraka kwa mioyo yao, kupumua kwa uzito na wakati mwingine kutokuwa na utulivu wakati wanapokuwa wamekaa, hii ndio sababu utamsikia akikwambia yuko ‘HOT’

So hebu tuchukulie umetoka deti na yeye halafu unamwona haangamani sehemu aliyoketi, unamwona anasogea huku na huku ilhali anakuangalia, anacheza na nywele zake, ama anaenda bafuni kujisaidia. Hii ni ishara moja kuwa amebambika na wewe na anataka umpatie full atenshen kwake.

#8 Anakuruhusu umguse
Hii ni kiashirio cha mwisho zaidi kuonyesha kuwa amejiachilia kwako na hakuna kurudi nyuma. Wanawake, hata wale ambao wamezoea kutongozwa, huwa wanakuwa sensitive kwa miguso ambayo haijakaribishwa. Sasa kama wewe ni yule anayependa changamoto, na unataka kujua kama anaitamani, na akakuachilia umguse, basi hakuna la zaidi la kuelezea kwa sababu kile ambacho kinafuata baada ya hapo kinajulikana.

Lakini kuwa makini, anza polepole. Usijaribu kuupitisha mkono wako ndani ya blauzi yake. Balada yake ifanye romantik ili ulete tenshen ya kemia. Anza kwa kuiweka mikono yako kiunoni kwake, hadi kwa mikono yake na ufikie shingo yake. Soma sehemu ambazo anapenda uziguse sana huku akikuelekeza zaidi.

Upo!? Kazi kwako.

No comments