\ Sawa sikatai kwamba siku hizi tunaenda na wakati,tunakuwa wabunifu ili kufanya tukio zima la kufanya mapenzi linoge.Mikao ya hapa na pale..style za kila aina kama vilema vileee mmh hii yote ni kuleta mzuka katika mapenzi lakini nakupa sababu moja ya msingi ambayo inakubidi uendelee kutumia style hii (KIFO CHA MENDE) 1.Kwanza stlye hii utaijua maana yake kama unafanya na mpenzi wako wa dhati kabisa na si mtu tu ambae umeamua kufanya nae tendo la ngono. 2.Kufanya mapenzi ni njia nyingine kubwa ya kudumisha uhusiano wako na mpenzi wako style hii inakufanya uwe karibu sana na mpenzi wako wakati mna do...Style ya kifo cha mende inakufanya upate nafasi ya kumkumbatia mpenzi wako wakati mnafanya mapenzi,kumtizama usoni na kuona anajisikiaje wakati mnafanya mapenzi(anakufeel),wanawake tuna kawaida wakati gemu imekolea tunapenda kukumbatia kwa nguvu..kwa hiyo hapa utamvuta...utamkumbatia mpenzi wako..utamng'ata kwa wale wanaopenda kung'ata,utamlilia kwa wale wanaolia maaana kuna wengine mabubu hupenda kufanya(kimyakimya)...utamwambia maneno yako yote kama unaenjoy,unampenda,najua,hodari,anakufikisha...STYLE hii inaleteta muunganiko mzuri kati yako na mpenzi wako tofauti na STYLE ZINGINE. Style zingine mnafanya kuenjoy sasa wewe umeinama mwanaume wako yuko nyuma unaweza hata kumtizama usoni wakati mna do???unaweza mkumbatia wakati mna do??JAMANI KIFO CHA MENDE NDIO BONGE LA STYLE kama ulikuwa haujui....ila wewe sema kama unalo???



Wahenga washasema kila kizuri kina kasoro zake! Hili linajithibithisha baada ya mitindo hii ya mapenzi inavyoambatana na athari na madhara kedekede yakiwemo
maradhi ya kuambukiza na magonjwa ya zinaa kwa wale wenye kuwa nayo! Duuh! Haya basi hii ni orodha ya magonjwa ya zinaa ambayo huambukizwa kupitia kulambana na kunyonyana  Sehemu Siri:-

1. Gonorrhea
Hili huanzia katika koo la muambukizwaji, na mwanzoni huhisi kama ni ukavu wa kifuu au maradhi ya kawaida ya kifua, ila baadae hushuka na kuelekea katika viungo vya uzazi
2.  Syphilis
Huu huambukizwa kirahisi zaidi kupitia mdoma na hasa pale inapotekea mdomo ukutana na kiungo chenye athari hizo.
 3. Chlamydia
Huu pia huambukizwa kupitia mdomo, ingawa waathirika wanaweza wasijijue maana huwa hauna dalali kwa muda mrefu
4.hepatitis A
Huyu ni Virus anayepatikana katika kinyesi cha binadamu, huyu huwaingia wale wanaopenda kunyonyana na kulambana sehemu za haja kubwa
5.Hepatitis B
Huu huambukizwa kama HIV vile maana virusi vyake hukaa katika majimaji yanayotoka katika sehemu za siri na damu.
6. Hepatitis C
Huu hupatikana pindi damu inapotoka maana vijidudu vyake vinakaa katika damu!

Pia kuna hatari za kupata HIV/AIDS kupitia staili hizi japo kwa uchache sana. Kwa sas nchi za watu wamebuni aina fulani ya Condom ambazo huvaliwa katika mdomo hivyo kupunguza hatari ya kupata madhara tajwa hapo juu! Ila kwa nchi zetu bado sijasikia! Sasa utamu ndo huo na madhara ndo hayo, akili kichwani!

No comments