KUMBE NA HUU NI UGONJWA???? Je Wajua Kupata Hamu ya Kufanya Mapenzi Kila Siku ni Ugonjwa

Jamani ukion wewe kila siku ni kufanya mapenzi na akili yako yote inafikiria mapenzi tu jua wewe ni mgonjwa. Nenda kawaone psychologist wakutibu kabla haujaamua kuishi na mwenza.

Sio kila siku mwenza wako atakuwa kwenye mood. Siku zingine anaumwa, siku nyingine kachoka sana sababu ya uja uzito na wakati mwingine ananyonyesha. Kushindwa uvumilivu kidogo ndio kunasababisha wenzetu waganda waanze kung'ang'ania maziwa ya watoto kwa mama.
Ukiona wewe ni kijana hujaoa alafu haipiti wiki hujakwichi ujue una ugonjwa wa sexual addiction. Waone wanasaikolojia watakusaidia.

Najua utabisha maana wagonjwa ni wengi na mbaya zaidi hawajioni wagonjwa.
Kwani hujasikia mtu anatoka na housegirl sababu mkewe kasafiri kikazi au mtu anaanza kutongoza mdogo wa mke wake au mume wake sababu mhusika kaondoka au yuko stage ya mwisho ya mimba

Mahusiano ni art,huitaji maandalizi ya kuishi na kumvumilia mwenzako
Moja ya hayo ni hili. Unaweza kutibiwa vizuri ukapona kama wanavyoponaga wapiga punyeto wakitibiwa kwa kupata wanashauri wa saikolojia wazuri
Wasalaam 

No comments