VISHAWISHI JAMANI:::::::::::::: Mke wa Rafiki Yangu Anadai Nimuongezee Njia ili Wakati wa Kujifungua Asipate Shida..Ushauri
Jamani Admin Mwenzenu naingia katika vishawishi kutoka kwa mke wa rafiki yangu kabisa, ni hivi rafiki yangu kasafiri kikazi nje ya nchi kwa muda sasa, huku nyuma amemuacha mke wake ambae ana ujauzito wa miezi nane sasa bado mmoja ajifungue , sasa juzi nimekutana nae tukapata lunch pamoja sehemu, basi katika kuongea ongea akaniambia dokta wake amemwambia kipindi hichi inafaa ampe sana yale mambo mumewe ili njia ifunguke asipate shida wakati wa kujifungua , sasa mume wake ndo hayupo katika kutaniana taniana akaniambia kama sita jali na nitakuwa msiri niwe nampa kitu mpaka atakapojifungua ili kuongeza njia...Bado sijamjibu na leo nimekuta message akikumbushia Jambo Hilo ..Wadau Nifanyaje?
By Oscar
No comments