UNAWEZA KUJUA MIMBA IMEINGIA AU LA MARA TU BAADA YA TENDO LA NDOA?



Watu wengi hawafahamu hili na wengine husema kua anaweza kufaham kama amepata mimba wakati wa tendo la ndoa au muda mchache baada ya tendo la ndoa..
Lakini kiukweli huwezi kufahamu kua mimba imeingia au la muda mfupi baada ya tendo la ndoa ,
inachukua muda wa siku mpaka sita kwa hatua ya kwanza kukamilika ambayo huhusisha yai la kike kuungana na yai la kiume kutengeneza kijusi,na hapo bado huwezi sema ni mjamzito na wala huwezi kufahamu,hatua ya pili itachukua tena siku 7-10 kwa kijusi kujishikiza katika ukuta wa kizazi na hapo ndipo hormone ya BHCG hutolewa,na hormone hiyo ndiyo huonesha kua ni mjamzito.

mara nyingi utaweza kugundua kua ni mjamzito kwa kipimo cha mkojo siku 14 baada ya mimba kutungwa ..
na ndio maana unaweza kutumia dawa za dharura za kuzuia tutungwa mimba hata ndani ya sku 1-4 baada ya tendo la ndoa japo yfanisi wa kuzuia mimba hupungua kadri muda unavyyongezeka

HAYA NA MENGINE NICHEKI INSTAGRAM NAITWA @DAKTARI_WAMAPENZITZ

No comments