Ni Nani Aliyekutuma Kuoa Mwanamke Flat Screen?
Utakuta uko na mkeo matembezini uku kafungashia kidogo basi mijanaume isiyokuwa na akili inaanza kupiga mayowe oh wakubwa wanafaidi ohh marshallah.
Kwanini na wewe usioe au kutafuta mwanamke mwenye makalio na ukaacha
kutamani vya wenzao. Kwanza unamkosea adabu mwanaume mwenzio kupiga
miyowe utadhani umeona utupu wa mzazi wako.
Acheni ujinga tuacheni tuenjoy na wake zetu maana hatukuwatuma kuoa flat screen.
ila kila mtu chaguo lako


No comments