SABABU ZA KITAALAMU NA ZA KISAYANSI KWANINI WANAUME WAOE WANAWAKE WENGI NA WATOKE NJE YA NDOA
1.Takwimu
za kidunia zinaonyesha kuna idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume
,wanawake wamewazidi wanaume kwa 20%.Tukichukua ratio kila mwanaume
asimame na mwanamke basi 20% ya wanawake watabaki pekee yao,je kila
mwanaume aoe mwanamke mmoja hawa 20% wataolewa na kusitiriwa na nani?
unakuta mwanamke ana miaka 36 yupo single siyo kwamba kapenda ila
Takwimu za kidunia zimemfanya awe single.
2.Takwimu
zinaonyesha wanaume ndio wanafungwa jela sana tofauti na
wanawake,ukienda magereza mbali mbali na kutafuta idadi ya wafungwa basi
utaona wafungwa wa kiume wapo wengi kuliko wa kike ,asilimia 90 ya
wafungwa ni wanaume na 10% ni wanawake
3.Sababu
nyingine ni matukio ya vifo ni wazi kwamba wanaume wanakufa mapema na
kwa wingi kuliko wanawake,idadi ya vifo ya wanaume kwenye vita ni kubwa
,Mara nyingi kwenye vita wanaume ndio hupelekwa mstari wa mbele kupigana
na machafuko yote wanaume ndio hupigana na idadi kubwa ya wapiganaji
hupoteza maisha pia wanaume hufa sana kwenye ajali kama za pikipiki Leo
hii ukienda hospitali za muhimbili na mwananyamala na kutafuta idadi ya
waliokufa kutokana na bodaboda basi asilimia kubwa ni wanaume ,ukienda
migodini idadi ya watu wanaofukiwa na vifusi ni wengi,mapigano baina ya
wakulima na wafugaji wanaopoteza maisha wengi ni wanaume bado
hatujazungumzia wanaokufa maji kutokana na shughuli za uvuvi .Wanaume
pia huongoza kuuliwa kutokana na wizi na ujambazi ,mifano tunayo mingi
mamia ya watu huchomwa moto,hupigwa mpaka kufa kutokana na
uporaji,ukwapuaji nk na 99% ni wanaume
4.sababu
nyingine ni ongezeko la mashoga ni wazi kwamba kwenye ulimwengu wa sasa
wa utandawazi kumekuwepo na matatizo ya wanaume kugeuzwa kuwa wanawake
na tumeona mataifa makubwa duniani yakipigania haki za mashoga na
kumekuwa na NGOs nyingi zinazopigania haki za mashoga kama umebahatika
kuona maandamano ya lgtb huko USA hakika utaona msururu wa maalfu ya
wanaume mapusti yakipigania haki zao na hata huku Tanzania kuna idadi
kubwa ya mashoga ukienda mitandaoni utawakuta wengi tena wengine
wanajitangaza wazi,ukienda kwenye njenje,taarabu,klabu nk utakutana na
wanaume wasioridhki wengi..
5.Kuna
idadi kubwa ya wanaume wasiokuwa na uwezo wa kuzalisha na wana upungufu
mkubwa wa nguvu za kiume,Leo hii ukipita barabarani utakutana na
matangazo mengi ya kutibu nguvu za kiume,wauzaji wa mihogo mibichi
wameongezeka nk,uwepo wa vyakula feki zenye sumu na mafuta mengi
yamewafanya baadhi ya watu kupoteza nguvu za kiume na uwezo wa
kuzalisha.
6.ongezeko
ya watumiaji wa dawa ya kulevya "mateja". Hakika dunia ya leo imekumbwa
na idadi kubwa ya watu wasiokuwa na mbele wala nyuma "mateja"
tuchukulie mfano hapa kwetu Tanzania tumeona vijana wengi walioathiriwa
na dawa za kulevya walivyopotea ,watizame mateja waliopo stendi za
mabasi,mitaani walivyochoka na kudhoofika na teja siku zote hawazi
mwanamke yeye mwanamke wake ni heroin na teja haoi ,kuna mateja wa aina
nyingi hawa mateja matajiri tuwaache tuwazungumzie mateja wasiokuwa na
pesa ambao wanashinda stendi,vibarazani,vichochoroni nk na wapo wengi
sana ,
Takwimu
zinasema wanawake wapo wengi kuliko wanaume duniani na shirika la
utafiti duniani wamesema wanawake wamewapita wanaume kwa wingi wa 20%
,Leo hii kila mwanaume apewe msichana 1 hakika 20% ya wanawake watabaki
single ..
Sasa
kama wanawake wapo wengi kwa 20% kuliko wanaume ukijumlisha na ongezeko
kubwa la mashoga,idadi kubwa ya vifo kwa wanaume,idadi kubwa ya
wafungwa wanaume kuliko wanawake,idadi kubwa ya mateja wasiokuwa na
future,idadi kubwa ya watu wasiokuwa na uwezo wa kuzalisha na wenye
upungufu mkubwa wa nguvu za kiume. Hakika wanawake wengi zaidi watakosa
wanaume..
kama
ki idadi tu wanawake wengi wapo single kutokana na upungufu wa idadi ya
wanaume, je vipi factors 5 hizo zingine si itakuwa hatari zaidi
,ongezeko ya wanawake wengi kuwa single itakuwa kubwa zaidi
NB:
ewe mwanamke ukimuona mwanaume wako anachepuka usikasirike sababu
wanawake wenzako pia wanahitaji kusitiriwa sababu nature wanaume wapo
wachache sana je wewe ukiwa mchoyo wenzako watapata huduma wapi na pia
watakuwa single milele
Pia
nashauri wanaume tuoe wanawake wengi au tuchepuke sababu demand ya
wanaume ni kubwa ,supply ni chache kutokana na scarcity ya wanaume
iliyopo ..hivyo tusipo oa wengi na kuchepuka tutakuwa hatuwatendei haki
wanawake

No comments