Fangasi wa ukeni ni miongoni mwa magonjwa ambayo hutesa wanawake kwa namna mbalimbali. Husababisha muwasho, harufu mbaya, maumivu, majimaji, homa nk kiasi cha kuingilia ratiba na ufanyaji kazi wa kila siku wa mtu. Huweza kuwakumba wanawake wa aina zote, ila wanawake wenye ujauzito huwa kwenye hatari zaidi. Ukikosa matibabu mazuri unaweza ukahangaika nao kwa muda mrefu sana, lakini ukipata matibabu mazuri basi ndani ya muda mfupi tu unapona kabisa na kuweza kuwa vizuri. Kinga ni bora kuliko tiba, ukijua jinsi ya kujikinga usipate ugonjwa huu au usipate tena basi ni vyema zaidi. Leo tuangalie namna mbalimbali ambazo unaweza kutumia ili kujikinga dhidi ya ugonjwa huu. Unaweza kujikinga dhidi ya fangasi hawa kwa : 1. Epuka kufanya mapenzi bila kutumia kinga 2. Hakikisha usafi na ukavu mara zote wa sehemu zote za siri 3. Epuka matumizi ya sabuni kali kujisafishia ukeni 4. Hakikisha unavaa nguo kavu na kuwahi kubadilisha nguo za ndani mara tu itakapotokea zimelowa 5. Zingatia sana usafi wa nguo za ndani na pedi MATIBABU YAKE Matibabu ya fangasi huweza kufanywa kwa dawa mbalimbali kama vile Fluconazole, Clotrimazole, Miconazole nk (NB: Pata ushauri wa daktari na uandikiwe kisha ndipo ununue na kutumia dawa hizi). Kwa kuhakikisha unapata matibabu mazuri zaidi ni vyema kupata ushauri wa daktari (Sio gharama siku hizi, hata Tsh 5,000/= haifiki) ili aielewe kesi yako vizuri zaidi kisha ajue matibabu na dawa nzuri zaidi kwa ajili yako. Ukizingatia hayo matibabu ya fangasi hawa ni rahisi sana na utapona kabisa. Usiteseke tena, pata ushauri na matibabu sahihi na jikinge vyema dhidi ya fangasi hawa sasa.



Simama wima (ukiwa uchi mbele ya kioo ndio it'll work better), weka mikono yako hapo tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele (litunishe) baki hivyo kwa muda kisha lirudishe kwa ndani na ubaki tena hivyo kwa muda.

Rudia kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo na kumbuka kubana pumzi huku mdomo ukiwa wazi (itasaidia kukaza misuli ya tumbo pia), kubadilisha mirindimo (polepole, haraka, chap-chap, kugandisha n.k) mpaka utakapo hisi tumbo lako linatetema/tikisika (yaani vibrating).

Msingi wa kukata kiuno
Kama nilivyosema awali, simama wima najishike kiunoni (kuhu na huku) kisha peleka sehemu ya kiuno ya kulia upande wa kulia, sehemu ya mbele ipeleke mbele uwezavyo(nina maana ile pelvis tu sio tumbo na kila kitu) alafu baada ya hapo peleke sehemu yako ya kiuno ya kushoto-kushoto, kisha peleka sehemu yako ya mbele nyuma hali itakayofanya matako yako yabinuke/jitokeze kwa nyuma.....nyoosha magoti kisha rudi kulia (ulipoanzia).

Fuata hatua hizo kwa mara nyingine tena ambazo ni simama wima-kulia-mbele-kushoto-nyuma kulia x 20 na kuendelea inategemea zaidi na bidii yako.

Baada ya kuzoea hatua hizo hapo ndio unapotakiwa ku-create movements na mirindimo yako kivyako. Mfano lala chali, kifudifudi (lalia tumbo), ubavu, chutama, piga magoti n.k kisha nenda kulia-mbele-kushoto-nyuma-kulia mpaka kiuno kizoee..... alafu usisahau ukiwa ndani ya "game" kukilazimisha mpaka kitakapo kubali/zoea.

Kidokezo: Zoezi zuri la kukata kino ni kulala kifudifudi (kulalia tumbo) kisha kukizunguusha (hapa usipokuwa mwangalifu unaweza ku-cum.

No comments